Mwanamke unaposifia chips za baa eti ni tamu kuliko za nyumbani, basi ujue na vitu vingine huko baa ni vitamu vile vile.

Mwanamke unaposifia chips za baa eti ni tamu kuliko za nyumbani, basi ujue na vitu vingine huko baa ni vitamu vile vile.

Ncha Kali

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2019
Posts
15,335
Reaction score
29,114
Ngoja niwasanue!

Imekuwa kawaida kusikia wake zetu wakisifia chips za baa eti ni tamu kuliko wanazoweza kupika majumbani kwao.

Basi sasa mjue sio chips tu, hata chakula cha hotelini huwa ni kitamu kuliko mnachoandaa majumbani. Hii ndiyo sababu huwa waume zenu wanarudi wameshiba.

Au wanabakisha nafasi kidogo tu ya kutimiza wajibu ili msilalamike wasipokula.

Hata wahudumu huko baa ni watamu vile vile kuliko wake wa aina hiyo, ndiyo maana ni rahisi kurudi nyumbani usiku mnene au pengine asubuhi.

Mnapoamua kusifia vyakula vya nje basi msiishie kwenye chips pekee.
 
Back
Top Bottom