kulagha nenga
JF-Expert Member
- Jan 1, 2026
- 690
- 1,375
Yaani unakuta binti anawaza kuolewa na mwanaume ambaye amemtengeneza yeye kwenye akili zake eti
Awe na Nyumba
Awe na gari
Awe na hela
Sawa na wewe unaolewa ukiwa na nini?
Kama hicho kiungo kila mwanamke anacho.
Awe na Nyumba
Awe na gari
Awe na hela
Sawa na wewe unaolewa ukiwa na nini?
Kama hicho kiungo kila mwanamke anacho.