kwa nini ujirembe jaman?
mimi nilikaaa chn nkatafakari sana nikaona haina haja ya kujiremba sijui kujikomlikate ahh HAINA HAJA..
..NIMECHUNGUZA SANA,NIOMESOMA VJARIDA TOFAUT NA NIMEULIZA WENG MWISHOWE NIKAUGUNDUA HAINA HAJA...
..UZRI WA MTU NI ROHO NA AKILI YAKE SI UREMBO WANJE SJUI MA MAKE UP HAPANA...
..kuna watu ukiwaona km malaika wamependezaaa wanavutiaa lakin ukimsogelea ukaanza kuongea nae ahh unagundua NI MCHAFU NI BALAA..anaongea pumba,ana roho mbaya ,tabia mbaya,hajui kuonhea na watu in shot HAJUI AONGEE WAP SEHEMU GAN NA NANAN kitu kinachomfanya akimbie na watu na wala hanogi tena kuwa karibu naye....
....APO NDO NIKAGUNDUA KUWA MREMBO TU HAITOSH BALI TWAITAJIKA TUNOE UTU NA TULILIE HEKIMA NA BUSARA NA ROHO NZURI PIA ILI tuweze kujua tufanye nini wap na nanan...UZURI WA MTU UPO NDAN SI NJE...
twaitajika tunoe na turembe
akili
utu,huruma na unyenyekevu
busara na hekima
ILI TUWEZE KUPENDEZA ZAIDI
Umenena mami, our inner selves matter than umayasa.. Ingawa watu kuacha kujiremba ni shughuli pevu ndiyo maana nikakereka na kuandika hata hao wanaopaka makeup wapake kwa KIASI!! Mtu anaingia ofisini na lipstick nyekunduuuuuuuuu utadhani ny*o la baboon kama anaenda mawindoni.. Yaani anavyoji present na mahala alipo tofauti kabisaaaaaaa.. Inasikitisha na kutia kinyaa..
Umenena mami, our inner selves matter than umayasa.. Ingawa watu kuacha kujiremba ni shughuli pevu ndiyo maana nikakereka na kuandika hata hao wanaopaka makeup wapake kwa KIASI!! Mtu anaingia ofisini na lipstick nyekunduuuuuuuuu utadhani ny*o la baboon kama anaenda mawindoni.. Yaani anavyoji present na mahala alipo tofauti kabisaaaaaaa.. Inasikitisha na kutia kinyaa..
chunguza kioo anacho tumia ........ !!!!!!!
Hahahahaaaa my point exactly yaani umenivunja mbavu na kunikumbusha taswira kibao.. Mh kazi ipo..dah ndg yangu umenikumbusha kituko kimoja uko mitaan wakat nazurura maofisin mwa watu nkakutana na sekretar ana miika km 50 ivi yan alipaka wanja uo kuanzia pembe mpk pembe +na shedooo tiii bas kjisura kikabakia km kinyan kitoto yan sikuvumilia nikaangusha kicheko cha nguvu akamind akaniuliza wacheka nini bnt nikamwambia ahh mesej apa imenichekesha...
sjui kwanini watu wanapenda kujichora kupita kiasi aahh unajichora zaid ya raman..
Mwanamke anayetumia kioo kikubwa akitoka nje anachukiza Ili upendeze tumia kioo kidogo kinaongeza concentration ya targeted site
Hata mimi wananikera. Uso mmoja unapakwa midude kibao. Kisa umevaa nguo ya njano basi na mimake up yako ya njano mashavuni.
Mimi jitu la hivyo hata kama ni shostito siongozani nae.
Mie mbona nikitumia haya madude uso unatoka manundu :Cry::Cry::Cry:
Nalipa nauli ya daladala ltangulie, halafu nilikute limeshaoga, ha ha haaaaa!
too much of everything is harmful!
Natural is always good....Wale wa mikorog ndo hata sijui niseme nini..