Mwanamke urembo..

Mwanamke urembo..

Ni kweli kabisa tunalishwa ma-chemical tunapowabusu wanawake. Ndo maana mimi katika thread yangu fulani nilipinga hizi salamu za kisasa za kukumbatiana na kubusiana mashavuni.
 
natural is always good....

Kuhusu issue ya mkorogo ngoja nikupe beti la the late tupac shakur......
"the blacker the berry the sweeter the juice, the darker the flesh the deeper the roots"

lets love our ancestry.
thank u
 
WanaJF naomba nifikishe haka ka kero naamini ujumbe utafikia wengi..

Jamani wanawake wenzangu when it comes to make up naomba tukumbuke usemi wa "Less is more" mambo ya kukandika bila kipimo mpaka mtu unafanana na mwanasesere inatia kinyaa kwa kweli.. Wale wa mikorog ndo hata sijui niseme nini.. Tuwahurumie na hao better halves wetu wanaotukiss everywhere, maana tunawalisha machemical though some make up ni edible but duh tupake kwa kiasi jamani kila kitu kwa kiasi.. Nawatakia 2011 yenye heri na fanaka.. stay beautiful!! :tea:
LUO beauty
 
Wanamapinduzi wanazidi kuongezeka, shukrani nyingi zikufikie kokote ulipo
 
Back
Top Bottom