Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,518
- 6,506
LUO beautyWanaJF naomba nifikishe haka ka kero naamini ujumbe utafikia wengi..
Jamani wanawake wenzangu when it comes to make up naomba tukumbuke usemi wa "Less is more" mambo ya kukandika bila kipimo mpaka mtu unafanana na mwanasesere inatia kinyaa kwa kweli.. Wale wa mikorog ndo hata sijui niseme nini.. Tuwahurumie na hao better halves wetu wanaotukiss everywhere, maana tunawalisha machemical though some make up ni edible but duh tupake kwa kiasi jamani kila kitu kwa kiasi.. Nawatakia 2011 yenye heri na fanaka.. stay beautiful!! :tea:
WanaJF naomba nifikishe haka ka kero naamini ujumbe utafikia wengi..