Mwanamke: Usafi wa 'K' ni zaidi ya muhimu, harufu mbaya zimezidi

mimi waqnawake ninakuwa nao faragha wote wako vizuri sijawahi sikia harufu yoyote....

labda unaokota wanawake wa bei nafuu mkuu, jaribu kutafuta wanawake ambao ni expensive ulete feedback...
K ni K tu haina cha bei ghali wala bei rahisi. Unaweza kuta wa bei ghali ananuka K
 
Muda wote wanabandika makucha vidoleni hizo K zitaoshwa na mikono ipi?

Sijui kwa nini mawazo yangu huwa yananituma vibaya. "Nikiona mwanamke mwenye kucha ndefu naanza kupata mashaka na usafi wa K yake"
Upo sahihi kabisa
 
Mzigua banah!
 
mimi waqnawake ninakuwa nao faragha wote wako vizuri sijawahi sikia harufu yoyote....

labda unaokota wanawake wa bei nafuu mkuu, jaribu kutafuta wanawake ambao ni expensive ulete feedback...
Acha mbwembwe mkuu baba....jamaa anaongea ukweli,what do you real mean ukisema wanawake expensive?acha mbwembwe!
 
Mimi naona kunuka kwa k chanzo ni uzembe . ila kama manzi wako ana hilo problemme we mshawishi indirect kukazana na usafi wa ndani haswa idara ya k ...ikiwezekana mwogeshe kabisa...au kama ni magonjwa ...yaan if the prolem iko seriously nenda kwa daktari yaweza kuwa fangas au bacterial infection.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…