Mwanamke: Usafi wa 'K' ni zaidi ya muhimu, harufu mbaya zimezidi

Mwanamke: Usafi wa 'K' ni zaidi ya muhimu, harufu mbaya zimezidi

mimi waqnawake ninakuwa nao faragha wote wako vizuri sijawahi sikia harufu yoyote....

labda unaokota wanawake wa bei nafuu mkuu, jaribu kutafuta wanawake ambao ni expensive ulete feedback...
K ni K tu haina cha bei ghali wala bei rahisi. Unaweza kuta wa bei ghali ananuka K
 
Muda wote wanabandika makucha vidoleni hizo K zitaoshwa na mikono ipi?

Sijui kwa nini mawazo yangu huwa yananituma vibaya. "Nikiona mwanamke mwenye kucha ndefu naanza kupata mashaka na usafi wa K yake"
Upo sahihi kabisa
 
Huyo wifi wa mji gani anaepiga mswaki na kupaka make up bila kujisafisha kwa bibi?
Kazi yako wewe kama mwanaume ni kumuambia pia k yake ina harufu ili kama ni ugonjwa unaokuhusu na wewe ukajitibu.
Sio kila k inayonuka ni uchafu zingine magonjwa. Sasa kaa kimya na wewe ugonjwa ukuingie
Mzigua banah!
 
mimi waqnawake ninakuwa nao faragha wote wako vizuri sijawahi sikia harufu yoyote....

labda unaokota wanawake wa bei nafuu mkuu, jaribu kutafuta wanawake ambao ni expensive ulete feedback...
Acha mbwembwe mkuu baba....jamaa anaongea ukweli,what do you real mean ukisema wanawake expensive?acha mbwembwe!
 
Mimi naona kunuka kwa k chanzo ni uzembe . ila kama manzi wako ana hilo problemme we mshawishi indirect kukazana na usafi wa ndani haswa idara ya k ...ikiwezekana mwogeshe kabisa...au kama ni magonjwa ...yaan if the prolem iko seriously nenda kwa daktari yaweza kuwa fangas au bacterial infection.
 
Back
Top Bottom