Mwanamke usipoolewa ni aibu

Mwanamke usipoolewa ni aibu

Unakuta mtu kilaza hajui kufikiri changamoto za maisha, hajitumi, visionless na chagua chagua kutaka mme mwenye kila kitu. Mpaka mtu agonge 45 ndio wanazinduka hawa.

Acha wasibadilike watamaliza nyumba zote za ibada kukemea ujinga wao wenyewe.

Kuna vibinti vizuri hatari vina maliza chuo kila siku 23 - 25 of age, what makes a woman think yuko peke yake ?? Huwa siwaelewagi u kno. [emoji16]
 
Huwa kuna kitu sielewi kwani miaka 30 ina nini? Maana mnapenda sana kuwasema wadada walio na hiyo miaka

Ukiwa na miaka 30 ujaolewa kuna tatizo gani yaan huwa nawaza sielewi, yaani kisa umefika miaka 30 ujaolewa uanze kuona aibu?
 
Huwa kuna kitu sielewi kwani miaka 30 ina nini? Maana mnapenda sana kuwasema wadada walio na hiyo miaka

Ukiwa na miaka 30 ujaolewa kuna tatizo gani yaan huwa nawaza sielewi, yaani kisa umefika miaka 30 ujaolewa uanze kuona aibu?



Sent using Jamii Forums mobile app



mleta mada hajasema ni aibu ya aina gani aliomaanisha. ila nafikiri labda akiona wadogo zake wameolewa na yeye haolewi, na huko nyuma alishachagua sana waoaji na kuwakataa akitegemea mume mwenye anavovipenda yy! lazima aone aibu na majuto moyoni kimyakimya!
 
Kuna vita unainunua Tembosa, hakika utalipwa hapa hapa, subiri tu[emoji12]

Anyway, lifestyle ya mwanadamu inabadilika kutokana na mazingira na nyakati anazoishi, kwa sasa kuoa/kuolewa sio kipaumbele kwa kila mtu, wakati wengine tunaona kuishi na mtu karibu yako ni faraja kubwa, wapo wenzetu hawataki hata kusikia hiyo habari.

Kwa wale wanaohitaji kuoa/kuolewa, ni kweli kati ya 25-35 yrs ndio umri mzuri wa kuingia ndoani.
 
Ni kweli, Mwanamke jitahidi uolewe kabla hujafika 32(maximum age).
Baada ya hapo ni aibu kweli.
Aibu yakutokuolewa ni mbaya sana.

Nawaombea kwa Mungu wanawake wote muolewe on time.
Usipoolewa mwanamke ni ishara kwa jamii kua ulikuwa kicheche, hata ujifanye mtakatifu huko ukubwani ila haujaolewa basi watu watajua tu ulikuwa kipoozeo cha mashine.
 
Back
Top Bottom