Mwanamke: utafanyaje utakapokabiliwa na mtego huu.........?

Hakuna maongezi wala kubakana hapo ni vitendo tu.. leo kashika paja... umemchekea...kesho kakukisi umemchekea... baada ya wiki kakuegemea, baada ya miezi kadhaa kakukumbatia... akija kukuvua nguo huna habari kwani mtakuwa busy mnakisi by then. Fa mchezo na sumaku kati ya Ke na Me. Baada ya kumegana ndio mnaanza kujuta.. kumbuka anayejuta kweli kweli hapo anaweza kuwa mmoja tu mwingine ameplan toka day one anaanzisha huo so called urafiki... Kesho kuna kukataa wakati mlisha do before.

Ndio unasikia hata sijuhi mapenzi yetu yalianzaje... tumejikuta tu lovers. Lol.

lakini si lazima wazungumze kwanza.......... vinginevyo hiyo itakuwa ni kubaka
kuzungumzia jambo hilo ndio kutongoza kwenyewe
 


Ah Ah! Mwanamme mimi siweki mtego lakini nikihitajika na rafiki yangu (wa kike) nimfanyie analotaka vipi nilaumiwe kwa kumsaidia rafiki yangu?
 
Jaman c vbaya marafk kuwa wapenz especialy kama wote wawil watakuwa hawana wapenz! Lakn la kulazmishana kufanya that thng ndio baya! Pia inategemea huyo rafik yako anaongea vipi na wewe kuhusu hlo swala! Rafk wa kwel hawez kukuambia et urafk wetu ufe kisa umekataa! Huyo ni rafk ambae alikuwa anatake advantage ya urafik wenu kufikia malengo yake! Lakin c vzur kujarbiana et umuone mtu kama yupo fit! Na kama hayupo? Utamuacha? Na ni nan anaependa kula makombo ya m2 mwngne!? Ila ndio vzaz vya sasa!
 
WatMi mgeni humu inaonekana mnajuana sana,
Lakini mi nadhani mwanamke kawaida huwa anavutia m'me,
so urafiki kati ya m'ke na m'me mara nyingi huwa either m'me
ametoswa halafu akaamua kuendelea kuwa rafiki akisikilizia
labda ipo siku itakuwa poa ambapo hii huwa mara chache sana
mara nyingi demu akikataa men's hukimbia...pia kuna ile
men haja mind huyo demu na kwa kuwa labda na demu naye hana
hisia na hyo men basi urafki unadumu.

Kiukweli kabisa wanaume kila siku wanataka zaidi from ladies
ni vigumu sana m'me kuacha kuwa na hisia kwa mdada unless ndio iwe kama nilivyosema.

Stand ya mtego kwa kina dada, i think its obvious feelings kama naye
zimemchukua hana ujanja, lakini kama hajakukubali ndio urafiki unaisha.

Ukweli ni kwamba hata wa akina dada wanashindwa kujizuia
kama kuna mtu wame mind hata kama wapo kwenye uhusiano, so urafiki
utaendelea na mahusiano pia, but uhusiano wa kirafiki utabanwa kimtindo
ili mtu wake asijue na of course wa kirafiki anakubali tu si anaiba.

Watu hawawezi kukiri ila huo ndio ukweli, na ndio maisha wanayoishi watu ss hv.

Mdada anaweza kumuambia mtu wake mamen ambao wanamtaka
ambao pia yeye mdada hawataki, lakini hatothubutu hata siku moja
hata kutaja jina la mtu ambaye yeye(mdada) ana admire hata kama
hajafanya naye chochote lakini zile feeling tu kwake anajihisi guilty.

When loves stands hakuna kingine kitazuia, kama demu atakuwa
ame mind wala utakuwa si mtego watapeana na mambo yataendelea hta
wote wapo kwenye uhusiano.
 
Duuh urafiki unawezekana kama kutakuwa na limit however most of the time people get mixed feeling and confusing in this kind of relationship. Mimi rafiki anasehemu yake bwana hayo mambo ya kusafiri pamoja duuuh unless tunafanya kazi pamoja and we are business trip otherwise I don't see myself being with him.

Ikiwa imetokea kuwa tuko wawili na amekazania kuwa anataka ku-do, may be I will have to remind him that our friendship is platonic one and thats it. I don'tcare if it will jeopardy the relationship, a real friend will not take advantage of the friendship.
 
mkishaamua kuwa marafiki, it is in your best interest to keep it that way
 
Dah we acha tu huyu mzee hafai kabisa
Anawalinda mabinti zake tu..!
Ila hata iweje King'asti lazma aingie mikononi mwangu kwa namna yoyote

Mtambuzi, mapenzi huharibu urafiki. It's a risk manake baada ya feelings tu kuanza kuonekana ndo uadui unaingia. Manake zitaanza za 'umenichunia', lakini wakati tukiwa friends nikikuuliza hivyo ungejibu tu kwa pole, ila tukiwa wapenzi utaanza kuona unazongwa. Ili kutunza urafiki, nitapambana na moyo wangu na kuhakikisha hatuwi wapenzi, hata ikibidi nikulengeshe wa rafiki,lol

Weeh 52, hebu unikome mwana wa mwanaume mwenzio. Kama unanipenda ongea na Mtambuzi kabisaa mkubaliane ump na mahari, mie sijaribishwi:A S-baby:
 
Last edited by a moderator:
unamwambia haiwezekani aking'ang'aniza si basi urafiki unakufa? friends comes n goes...
 
Mtambuzi leo nimekwazika sanasana siwezi hat kuzungumza.nitachangia kesho kama nitakuwa hai
 
Last edited by a moderator:
BAba Bwana? Mbona umawatreat wanawake kama viumbe wasio na hisia? Kama viumbe ambao hisia zao huongozwa na hisia za wanaume??

If the feelings are mutual, mtaclick but kama mwanamke hana hisia za kimapenzi kwa huyo mwanaume na kama huyo mwanaume harespect hisia na maamuzi ya mwanamke kiasi cha kutishia kuvunja urafiki definitely hafai kuwa rafiki in the first place.
 
asa kwani kama ananipenda tufunge ndoa kwanza then ntampa at his own convinience ujue mtu anapooa anapata kibali kutoka kwa Mungu hataitwa MZINZI WALA MUASHERATI so kama atatumia gia ya kuoa ili apate K nampiga chini huyo jamaa maana yawezekana ni ngono oriented na sio urafiki wa dhati , mii ishanitokea by then alikuwa classmate wangu asa jamaa kakomaa mii usiponipa whats the difference now btn you and my ofcmate if you don't want sex with me .. nikamwangaliaa nikamwuliza asa nikikupa afu ukusepa akajikanyagaa wee nikamwambia ok listen let our friendship end here if thats the case .akasema poa , we didn't communicate for almost a year hata namba yake nikadelete , a year then akapiga cm nikamwuliza nani ,ok fyn wat do you want , kajikanyaga wee ooh i,m sorry naomba to sort out ile ishu ,nikamwambia fuuuuuuuull stop .so ningemkubalia by then angenigonga tu afu akasepa , wanaume bana eti ooh mi ntakuacha hahaha
 
Urafiki kati ya msichana na mvulana wa kawaida tu?Ni nini kinawaunganisha?
 
Kutoka kwenye urafiki kuingia kwenye mapenzi watu hua hawatongozani Mtambuzi utashangaa rafiki anaanza kukusifia ooh your lips are romantic mara sijui kifua chako kipo sexy..siku nyingine ataomba kukiss hizo lips mambo yanazidi kwenda deep. From there mkishachunguliana ndo mmoja wenu ataanza kujuta and sometimes urafiki unaweza kugeuka uadui au kama wote mmeridhia then mnakua wapenzi..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…