nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Hakuna maongezi wala kubakana hapo ni vitendo tu.. leo kashika paja... umemchekea...kesho kakukisi umemchekea... baada ya wiki kakuegemea, baada ya miezi kadhaa kakukumbatia... akija kukuvua nguo huna habari kwani mtakuwa busy mnakisi by then. Fa mchezo na sumaku kati ya Ke na Me. Baada ya kumegana ndio mnaanza kujuta.. kumbuka anayejuta kweli kweli hapo anaweza kuwa mmoja tu mwingine ameplan toka day one anaanzisha huo so called urafiki... Kesho kuna kukataa wakati mlisha do before.
Ndio unasikia hata sijuhi mapenzi yetu yalianzaje... tumejikuta tu lovers. Lol.
Ndio unasikia hata sijuhi mapenzi yetu yalianzaje... tumejikuta tu lovers. Lol.
lakini si lazima wazungumze kwanza.......... vinginevyo hiyo itakuwa ni kubaka
kuzungumzia jambo hilo ndio kutongoza kwenyewe
