Mwanamke wa bar anafananaje?

Mwanamke wa bar anafananaje?

Libunda

Member
Joined
Sep 17, 2019
Posts
87
Reaction score
78
Wapendwa hvivi inatokeaje mwanaume akipishana kidogo na mkewe anamuita wewe kama Mwanamke wa bar? Halafu kibaya zaidi Huyo mwanamke anatusiwa mbele ya mkwe wake, what kind of day man? na unambiwa it's not a first time.

Wat hell ov dis guys?
 
  • Thanks
Reactions: BAF
Ana uzoefu na wanawake wa bar..na hata hivyo hafanyi Jambo jema kukufananisha na mwanamke wa bar
 
Iko shida pande zote mbili kati yenu.Cha msingi tubuni na ni wapi mliko anguka wapendwa.Ni kweli kabisa inauma kupita maelezo ila Mungu wa mbinguni atawasaidia na mrudi ktk upendo ule wa kwanza,hadi jamaaa akachukua hatua ya kukuapproach kwa mwembwe zote.Tafuteni muda wa kuongea kwa kumaanisha in seroius way na tena iww mbali na nyumbani kabisa ili msitie aibu kwa mama Mkwe.

Jesus is able just cast ur burden unto Him...He cares for U.
 
Nasi wanaume tunakosea sana. Unamwitaje mkeo kwajinsi ya kumdhalilisha na kumkashifu? Hata kama amekukosea kwanini usitumie njia ya kistaarabu ambayo hata yeye ataona umemjari?
Ndio mkeo huyo, ndiye uliyekubaliana nae kuanzisha kizazi kipya pamoja nae. I hate men who are irresponsible and brutal to their wives.
 
Vipi kwa Muhaya wako wa Bukoba vijijini ulivuta mpunga kiasi gani mkuu,inaonekana alimwaga pesa kama mchanga.mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu kwa nini unataka kunigombanisha na matycoon?
Nikikatwa vidole utani saidia wewe kutafuta ugali wa wanangu?

Mimi simfahamu huyo mtu bana nimesoma tu malalamiko ya watu na hiyo tuhuma ya TAKUKURU.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu kwa nini unataka kunigombanisha na matycoon?
Nikikatwa vidole utani saidia wewe kutafuta ugali wa wanangu?

Mimi simfahamu huyo mtu bana nimesoma tu malalamiko ya watu na hiyo tuhuma ya TAKUKURU.
Hahahaha
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom