- Thread starter
- #41
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti kukwata vidole[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu kwa nini unataka kunigombanisha na matycoon?
Nikikatwa vidole utani saidia wewe kutafuta ugali wa wanangu?
Mimi simfahamu huyo mtu bana nimesoma tu malalamiko ya watu na hiyo tuhuma ya TAKUKURU.