Mwanamke wa bar anafananaje?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti kukwata vidole
 
Pole sana nadhani sio wote wenye hii tabia
Kaka inakera mnooo..Kabint kenyewe kapole masikini..Yaan anatukanwa mpk majiran tunasikia thus y nimelileta hapa..Halafu linasema kwa sautiiii..
 
Mkuu unabadirishia gia angani,zamani huko Kuna kathread kuhusu bwana yule kutolipa salaries ukasema,niacheni muhaya wanguuuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nilikuwa na uongelee Mwijage bana.
 
Mimi naongelea Kaka yake Hosea,Mr. St. Annemarie
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu ninamfahamu Mwijage na ninamfahamu huyo mwingine kama rafiki wa Mwijage.
Zaidi ya hapo sina ninalolifahamu.
Halafu nani alikuambia CCM yupo msafi?
Hao ndo wanaoibeba CCM.
Kuanzia posho, magari kipindi kama hiki, madereva mafuta na malazi.
Huyo unayemsema hana shida na salary au posho ya ubunge.
Kama ubunge kwake ni kulinda maslahi yake kwenye biashara zake.
Sasa mtu kama huyu usitegemee atatoka leo CCM.
 
Nimekupata mkuu,naona unatoa kichwa afu unakirudisha.
 
Reactions: amu
Nimekupata mkuu,naona unatoa kichwa afu unakirudisha.
Sasa mbona hizo ni basic info kila mtu anazijua.
Na kuandika muacheni muhaya wangu haimaanishi mimi ni mtu wake.

Kila mtu anajua jamaa ni muhaya.
 
Sasa mbona hizo ni basic info kila mtu anazijua.
Na kuandika muacheni muhaya wangu haimaanishi mimi ni mtu wake.

Kila mtu anajua jamaa ni muhaya.
Mtu aseme huyu ni mtu wangu,mimi nitajua kweli mpaka atengue kauli,asiootengua Mimi ni nani hadi nimbishie? Halafu kwa denials hizi,mhh
 
Reactions: amu
Mwanaume bora ni yule anayelowanisha chupi ya mwanamke hata akiwa mbali na si anayefanya mwanamke adondoshe machozi na kuwa na sononeko.
"mwanaume Bora ni yule anayelowanisha chupi ya mwanamke hata akiwa mbali"...teh teh amu bwana!
 
Tujifunze kuwaheshimu wanawake, ni watu muhimu sana katika maisha ya mwanaume.
 
Mwanaume bora ni yule anayelowanisha chupi ya mwanamke hata akiwa mbali na si anayefanya mwanamke adondoshe machozi na kuwa na sononeko.
Auntieeeeh pitia kwa mangi pata 1 baridi nakuja kupay chap kwa haraka lol, [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Ukiwa mpuuzi mpuuzi ndo unaitwa hivyo

Mwanaume hawezi kukushusha thamani kila rhs mpk ufanye matendoya kibar bar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…