Mwanamke wa hivi unamfanyaje?

1. nilichogundua wewe unampenda sana huyo binti.
2. namna bora ni kujipa muda fulani wa kuvumilia upuuzi wake. Grace period ikiisha mtafute uongee naye ana kwa ana ukimweleza kuwa umechishwa na tabia zake za hovyo hivyo unavunja uhusiano.
3. kama kweli anakupenda atajirekebisha
 
Mnategeana kutaftana..
Mapenzi ya kitoto hayo
 
Kwa ufupi anapumzikiwa ni wa ziada.
 
Usiwe msenge dogo, huyo kipindi chote hicho alikuwa anagegedwa na mtu ampendaye ambaye kwa akili yake finyu alihisi ndiyo angekuwa mpenzi wake. Mwanamke akiwa anakufanyia ujinga kama huu kwenye mahusiano basi juwa ana mtu ama watu wake anaowapima ni yupi kati ya hao adili naye kiundani zaidi kwani hawa wenzetu ufuata maslahi tu. Katemwa ndiyo anarudi kwako kuvuta subira akisubiri mjinga mwingine aje amchezee. Achana naye, mpige mti wa kutosha kisha mfukuze, never allow mwanamke acheze na your emotions ama kupoteza muda wako hata siku moja. Njoo kwenye kikao chetu cha wanaume 'Jiwe" utapata madini ya kutosha, achana kabisa na tabia za wanaume wa Dar.
 
Huyu muitie kindumbwendumbwe tu, ataacha kujikojolea mara moja. Ila tunajuaje kama ni mkeo ni kikojozi, isijekuwa ni wewe mwenyewe unajikojolea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…