Mzima lakini swahiba?Haaaaaa
Cc muosharungu ukuje utusaidie
Hahahhaaa mkubalie basiCha ajabu ni nini
Kila mtu ana Uhuru Wa kupenda Na haki ya kupenda!
Of course ni wengi wanaokuja ila huyu yupo speed sana!
DJ sepetu
Niko poa kabisaaa miss you sanaaaMzima lakini swahiba?
Basi sawaaaSiyo kirahisi hivyo of course rungu linahitaji kuoshwa!
But l got a partner jf already
DJ sepetu
Miss u too swahiba. Hata msg.Niko poa kabisaaa miss you sanaaa
[emoji85] kwema kabisaMiss u too swahiba. Hata msg.
Kwema lakini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] . Haya bana swahiba siku njema[emoji85] kwema kabisa
Wewe si juzi tu hapa ulikuja na uzi wako kuwa wanakusifia unapiga mechi vizuri.Kuna mwanamke Wa jf haachi kunifuata pm every time and now!
Anadai ametokea kuvutiwa Na jina langu Na anapenda tuonane ana kwa ana!
Nimejaribu kumuelewesha kuwa tayari Niko booked haelewi!
Najua watu watadhani labda natafuta sifa no! Its true!
Anavyoendelea kuniomba nami namuonea huruma jinsi alivyo beautiful sijui nimkubalie tuonane ila nisipige mechi au mnaonaje!
DJ sepetu
Na wewe pia[emoji23] [emoji23] [emoji23] . Haya bana swahiba siku njema
Sio mm[emoji23] [emoji23]Wewe si juzi tu hapa ulikuja na uzi wako kuwa wanakusifia unapiga mechi vizuri.
Hao uliowatangazia na wao wanataka wajue kama kweli yaliyomo yamo.
Kama sivyo na wao wakuanike kama ulivyowadhalilisha
Huwezi hata kukumbuka
Sent using Jamii Forums mobile app