Mwanamke Wa jf ananisumbua!

Mwanamke Wa jf ananisumbua!

Kapige akija mwingine piga tuu...ila utakapokua unasuuza rungu lako na UKIMWI njoo utujulishe pia

carnte himself
 
Kapige akija mwingine piga tuu...ila utakapokua unasuuza rungu lako na UKIMWI njoo utujulishe pia

carnte himself
 
Haaaaaa
Cc muosharungu ukuje utusaidie
Cha ajabu ni nini
Kila mtu ana Uhuru Wa kupenda Na haki ya kupenda!
Of course ni wengi wanaokuja ila huyu yupo speed sana!

DJ sepetu
 
Kuna mwanamke Wa jf haachi kunifuata pm every time and now!

Anadai ametokea kuvutiwa Na jina langu Na anapenda tuonane ana kwa ana!
Nimejaribu kumuelewesha kuwa tayari Niko booked haelewi!

Najua watu watadhani labda natafuta sifa no! Its true!

Anavyoendelea kuniomba nami namuonea huruma jinsi alivyo beautiful sijui nimkubalie tuonane ila nisipige mechi au mnaonaje!

DJ sepetu
Wewe si juzi tu hapa ulikuja na uzi wako kuwa wanakusifia unapiga mechi vizuri.

Hao uliowatangazia na wao wanataka wajue kama kweli yaliyomo yamo.

Kama sivyo na wao wakuanike kama ulivyowadhalilisha

Huwezi hata kukumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro kaoshe rungu..mbona kawaida,utashindwa kuishi south america,mana kule mama akikufeel anaomba akaoshe rungu lako just for leisure...so na huyo amekufeel na wewe mfeel...
 
Bro kaoshe rungu..mbona kawaida,utashindwa kuishi south america,mana kule mama akikufeel anaomba akaoshe rungu lako just for leisure...so na huyo amekufeel na wewe mfeel...
Hahah

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom