Kwani amekuambia mkionana mpige mechi?mbona kuna tofauti ya kuonana na kupiga mechi.Kuna mwanamke Wa jf haachi kunifuata pm every time and now!
Anadai ametokea kuvutiwa Na jina langu Na anapenda tuonane ana kwa ana!
Nimejaribu kumuelewesha kuwa tayari Niko booked haelewi!
Najua watu watadhani labda natafuta sifa no! Its true!
Anavyoendelea kuniomba nami namuonea huruma jinsi alivyo beautiful sijui nimkubalie tuonane ila nisipige mechi au mnaonaje!
DJ sepetu
Acha kusumbua watu wwEm subiri kwanza
Dalili ya mvua...Kwani amekuambia mkionana mpige mechi?mbona kuna tofauti ya kuonana na kupiga mechi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una mpenzi humu muosha rungu??Ni mtu Wa kukosa wakati ninae mpenzi humu
DJ sepetu
Sio lazima kumtaja kama yeye yupo JF si ataona kuwa hilo suala lenu umelileta huku....fanya maamuzi kwa kujiamini..chagua kusuka au kunyoaSijamtaja
DJ sepetu
KushareSio lazima kumtaja kama yeye yupo JF si ataona kuwa hilo suala lenu umelileta huku....fanya maamuzi kwa kujiamini..chagua kusuka au kunyoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekushauri tu maana mada hii kuileta humu inaonyesha hujiamini na una chembe chembe za tamaaMkuu hapo nani ana tamaa
DJ sepetu
Najiamini ndo maana nimeileta halafu tamaa ninazo ndo maana Nina..di..ndi...shaaaaaa![emoji23] [emoji23]Nimekushauri tu maana mada hii kuileta humu inaonyesha hujiamini na una chembe chembe za tamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahhahhahh kwanini sasaAcha kusumbua watu ww
Subili aje mwenyewe ajibu hapaKuna mwanamke Wa jf haachi kunifuata pm every time and now!