Mwanamke Wa jf ananisumbua!

Mwanamke Wa jf ananisumbua!

Kuna mwanamke Wa jf haachi kunifuata pm every time and now!

Anadai ametokea kuvutiwa Na jina langu Na anapenda tuonane ana kwa ana!
Nimejaribu kumuelewesha kuwa tayari Niko booked haelewi!

Najua watu watadhani labda natafuta sifa no! Its true!

Anavyoendelea kuniomba nami namuonea huruma jinsi alivyo beautiful sijui nimkubalie tuonane ila nisipige mechi au mnaonaje!

DJ sepetu
Kwani amekuambia mkionana mpige mechi?mbona kuna tofauti ya kuonana na kupiga mechi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwanamke Wa jf haachi kunifuata pm every time and now!

Anadai ametokea kuvutiwa Na jina langu Na anapenda tuonane ana kwa ana!
Nimejaribu kumuelewesha kuwa tayari Niko booked haelewi!

Najua watu watadhani labda natafuta sifa no! Its true!

Anavyoendelea kuniomba nami namuonea huruma jinsi alivyo beautiful sijui nimkubalie tuonane ila nisipige mechi au mnaonaje!

DJ sepetu
Subili aje mwenyewe ajibu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom