Mwanamke Wa jf ananisumbua!

Mwanamke Wa jf ananisumbua!

Wanaofatwa hawasemagi,...na uyo mwanamke hana akili kukufata ajui ukimtafuna papuchi utakuja kuielezea hapa jf
 
Kuna mwanamke Wa jf haachi kunifuata pm every time and now!

Anadai ametokea kuvutiwa Na jina langu Na anapenda tuonane ana kwa ana!
Nimejaribu kumuelewesha kuwa tayari Niko booked haelewi!

Najua watu watadhani labda natafuta sifa no! Its true!

Anavyoendelea kuniomba nami namuonea huruma jinsi alivyo beautiful sijui nimkubalie tuonane ila nisipige mechi au mnaonaje!

DJ sepetu
Wewe Beautiful [emoji15]
 
Back
Top Bottom