Mwanamke Wa jf ananisumbua!

Mwanamke Wa jf ananisumbua!

Utatolewa kucha/meno.Leta uzuri tu humu.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Kuna mwanamke Wa jf haachi kunifuata pm every time and now!

Anadai ametokea kuvutiwa Na jina langu Na anapenda tuonane ana kwa ana!
Nimejaribu kumuelewesha kuwa tayari Niko booked haelewi!

Najua watu watadhani labda natafuta sifa no! Its true!

Anavyoendelea kuniomba nami namuonea huruma jinsi alivyo beautiful sijui nimkubalie tuonane ila nisipige mechi au mnaonaje!

DJ sepetu
weka mambo hadharani
 
nenda kaonane naye then ulete mrejesho

gudluck
 
Akili yako pia inashindwa kukupa support ndogo ya kuhandle jambo dogo kama hilo ? Safari ni ndefu sana kwa style hiyo. Hapo unataka tukushauri nini.
 
Back
Top Bottom