Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijaona tatizo lolote.
Yuko safi, kila mwanaume ana choice yake. Kama huamini, muulize dingi yako ilikuwaje akaacha kuwafuata mabinti wengi wote lakini akazama kwa mama yako.
Joh na huyo dada ni couple ya over 16 years nawafahamu wote,
Nilicho-observe ni kwamba huyo demu ame-overdance, kama kuna mengine tofauti na hilo itakuwa ni wivu tu !
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipendacho roho....
HahahaaaMkuu ulitaka joh akuchukue wewe ??
Sijaona tatizo lolote.
Yuko safi, kila mwanaume ana choice yake. Kama huamini, muulize dingi yako ilikuwaje akaacha kuwafuata mabinti wengi wote lakini akazama kwa mama yako.