Mwanamke wa Joh Makini ni kituko

Mwanamke wa Joh Makini ni kituko

Mbona ni mzuri tu huyu jamani. Black beaty natural lady kabisa. Tatizo watu wanadanganyea na hao waliojipiga mkorogo na cream za Congo. To me mwanamke asili awe mweupe au mweusi ndiyo heshima. Binti amechangamka na shape yake ni nzuri tu.
 
Daah wanaume tu watu wa ajabu sana, hivi mtu muhuni kama Joh unataka awe na mke wa namna gsni zaidi ys kumfanania?
Ni sawa kabisa alivyo
Sijaona tatizo lolote.
Yuko safi, kila mwanaume ana choice yake. Kama huamini, muulize dingi yako ilikuwaje akaacha kuwafuata mabinti wengi wote lakini akazama kwa mama yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom