Mwanamke wa kiarabu

Nkungulume

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
2,987
Reaction score
1,209
Jamani kwa mara nyingine tena naomba niwajuze kuwa nahitaji mwanamke wa kiarabu na nikisema mwanamke wa kiarabu nina maana mwanamke wa kiarabu naomba niwasilishe.
 
Ebu fafanua unamuhitaji ili umuoe au unataka kutest ladha halafu ntakupa msaada
 
Mara utaskia waziri fulani kakosea no mara balozi fulani nae kakosea no,like tha like mara upande mwingine kilio mara mvulana wa f2 au wa chuo nae kakosea no. Dunia ndo ilivyo watu na bahati zao.
 
Na hii thread yako haitakuwa ya mwisho
 
Jamani kwa mara nyingine tena naomba niwajuze kuwa nahitaji mwanamke wa kiarabu na nikisema mwanamke wa kiarabu nina maana mwanamke wa kiarabu naomba niwasilishe
Si FaizaFoxy yupo,kwani kaolewa?
 
Huwajui waarabu
ungekuwa unawajua usingekuja hapa
ungewatafuta kule walipo...
Ni kweli ningewajua nisingekuja hapa ila nawajua kwa kuwaona natafuta namna ya kuwaona
 
Ni kweli ningewajua nisingekuja hapa ila nawajua kwa kuwaona natafuta namna ya kuwaona
Waarabu nyodo ndo nyumbani kwao
huwezi sema natafuta mwanamke wa kiarabu halafu akakufuata pm
haitatokea...

waarabu hata ukiwa na pesa....lakini mswahili...kazi kuwapata unless wale wa kujiuza
wanajali sana familia gani unatoka....
ukooo upi.....ukoo wenu una umaarufu gani?
kooo zenye majina ya Al....Al Fuad,Al mansoor,....sio Mapunda sijui ....
 
Nimekusoma mkuu lakini naweza pata maeneo wanayoweza patikana bila kijali natoka ukoo gani au nina uwezo kiasi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…