Mwanamke wa kiarabu

Mwanamke wa kiarabu

Mara utaskia waziri fulani kakosea no mara balozi fulani nae kakosea no,like that, like that mara upande mwingine kilio mara mvulana wa f2 au wa chuo nae kakosea no. Dunia ndo ilivyo watu na bahati zao wengine mikosi ndo hivyo.
 
Ok sawa kaka mkubwa mabinti wa kiarabu wapo katika makundi matatu,kundi la kwanza hawa ni wale high class sifa yao kubwa ni matajiri sana washika dini haswaa na tayari waume zao washaandaliwa mapema na asilimia kubwa wanaolewa wakiwa na umri mdogo tena wakiwa bikra
Makundi matatu na wewe umeelezea moja tu ambalo moja kwa moja sina sifa za kukabiliana nalo
 
We Si nilishakuambia uje huku Kwetu Pemba wapo kibao ila usiwe mla Mbuzi Katoliki la Paji lako la Uso liwe na kialama kama shilingi cheusi Sigida... ukija tunakupa na unaondoka naye mahari ni Karai moja lililojaa Dhahabu... sie kama Wacomoro pia
Pemba nakuja nilikuambia nipm huwa nafikia chakechake pia natarajia wiki hii nitakuwa huko
 
kuna mtto mmoja chotara anaitwa jenifa.baba mwarabu mama mtanga wa muheza.acha kabisa huyo mtoto.
 
Waarabu nyodo ndo nyumbani kwao
huwezi sema natafuta mwanamke wa kiarabu halafu akakufuata pm
haitatokea...

waarabu hata ukiwa na pesa....lakini mswahili...kazi kuwapata unless wale wa kujiuza
wanajali sana familia gani unatoka....
ukooo upi.....ukoo wenu una umaarufu gani?
kooo zenye majina ya Al....Al Fuad,Al mansoor,....sio Mapunda sijui ....
Duh
 
Jamani kwa mara nyingine tena naomba niwajuze kuwa nahitaji mwanamke wa kiarabu na nikisema mwanamke wa kiarabu nina maana mwanamke wa kiarabu naomba niwasilishe
Ok nimekupata sasa nenda mitaa ya ilala au zanzibar wapo wengi tu
 
mtafute nifah akupe namba ya bilali mashauzi,hao malonjo ndiyo mabingwa wa ukuwadi,kupitia hao ndonutampata kiulaini,
utachagua wa maana na waluwalu wale wanaokaa msasani bonde la mpunga
 
Mkuu waarabu hatutaki @magolo bana,utatuharibia ukoo!kama vipi tafuta golo mwenzko uko mkoani kwenu uoe muendeleze vizazi vya kina minza na mboje...teh teh teh
 
Umenikumbusha college, jamaa alitongoza mtoto wa Morocco na bingo, akakubaliwa...yule jamaa alipata tabu sana, Arab community walikasirika sana hadi kukaa vikao, kwa nini dada yetu atoke na mkongoman...
We angalia tu watu wakienda abroad, ni rahisi kurudi na mke mzungu kuliko kurudi na watu wa middle east hasa waarabu!!!
 
Ok bila shaka we ni pure negro,je pesa unazo?hii itakuwa ni alternative ya wewe kuoa udongo wa Mtume.
Naomba nieleweke kuwa natafuta mwanamke wa kiarabu ila kuoa au vyovyote itajulikana baada ya kufanya mawasiliano naye
 
mtafute nifah akupe namba ya bilali mashauzi,hao malonjo ndiyo mabingwa wa ukuwadi,kupitia hao ndonutampata kiulaini,
utachagua wa maana na waluwalu wale wanaokaa msasani bonde la mpunga
Kama unazo namba zao ni pm mkuu
 
Back
Top Bottom