Uchoyo hawana na hasa kwa vitu ambavyo hawajavinunua!
Hii kwa heshima ninayojiheshimu mimi naona aibu hata kusema,ila kwa kuwa nimeulizwa nitatoa xperience yangu.Kwa wale sita niliokutana nao, wote waliniomba nitumie na ule mtandao wa bei ndogo japo sikuridhia na nilibaki na maswali mengi,inakuwaje watu sita wakawa na same interest..??Should I generalize them or it was just a coincidence..??

πππUsiwe na wasi wasi kwani ndoa yenyewe haitafungwa. Ni kwamba jana yule wifi yako mtarajiwa aliniuliza tabia za wanaume wa kabila lenu. Ile kumwambia tu, alifuta hadi namba ya kaka yako. Kwa hiyo usijisumbue
π€£ππ€£πππππ€£πMwidiwe! hakuna kitu,kila mahali wazuri wapo na wabaya pia! Tena wa kasulu na wale wakibondo wote ovyo tu....!ukarimu wa nje ila ndani uozo mbaya...
Umesahau AUFORA NA SARATOGAila toa shaka mabasi yapo km sumry,adventure. UBATASHE MHIRA MUGABO, ULAKOZE MWEMWE!
Punguza kuw seriously πππ mkuuHaki ya mungu...hivi ninyi wote mliotoa comments zenu, za ushirikina, uchawi, kutoka nje ya ndoa etc mna ushahidi wa haya mnayosema? inasikitisha sana kuona karne hii bado kuna watu wa jinsi hii.....if i can ask you guys, unawezaje kujua mtu ni mshirikina if ur not doing the same? Ibilisi humjua ibilisi mwenzie....that is the principles...kwa maana hiyo if these people "Waha" ni washirikiana na wewe unaetoa coment ni Myao, Mgogo, Mhaya au Mchagga, the same way wewe ni mshirikina tu, umeyajuaje hayo? Na mwisho ni kwa muuliza swali, kimsingi swali lako ni la kijinga na halina msingi wowote, if ur brother ka fall na mtu hata angekuwa wa kabila gani, cha msingi wamependana...achana nao, na kama wewe ni mwanake anagalia sana tabia yako "what goes around........comes around"