Mwanamke wa kiha

Mwanamke wa kiha

wana wake wa kiha nawafahamu kama ifuatavyo kutokana na baadhi yao nilio kutana nao toka masomoni mpaka mtaani na wengine kukaa nao miaka mingi katika hatua tofauti za maisha

1.wapole kiasi wanaweza kishi na watu
2.wabahiri na wanaweza kujinyima ata katika mahitaji ya msingi
3.siyo wasafi katika nyumba au vyumba (kwa wanafunzi )na hawatunzi vizuri mali zao yaani general organisation ya nyumba unaweza kutana na sufuria sebuleni.
4.hawabadiliki haraka na hawajali unamuona vipi katika mavazi mitindo ya nywele n.k
5.n.k

narudia siyo wote lakini niliokutana nao.
 
Kijana mshauri jamaa akabebe mke wake hilo suala la ushirikina sio kweli ninachojua ni wavumilivu sana na wanajua kupenda sana
 
Uchoyo hawana na hasa kwa vitu ambavyo hawajavinunua!

Hii kwa heshima ninayojiheshimu mimi naona aibu hata kusema,ila kwa kuwa nimeulizwa nitatoa xperience yangu.Kwa wale sita niliokutana nao, wote waliniomba nitumie na ule mtandao wa bei ndogo japo sikuridhia na nilibaki na maswali mengi,inakuwaje watu sita wakawa na same interest..??Should I generalize them or it was just a coincidence..??
 
1. wanazaa kama mwanaume anatoa risasi za moto
2. wana matiti mawili
3. wanaitwa waha kwa sababu hupenda kushangaa "haa" kila ukimwambia nahitaji tundi la mti wa senta.
4. hawajazoea magari wakija jijini wao hata kwenda Kkoo, Posta n.k wanataka kupanda treni, ila shukrani za pekee zimwendee Mwakyembe
5.
6.
 
Hii kwa heshima ninayojiheshimu mimi naona aibu hata kusema,ila kwa kuwa nimeulizwa nitatoa xperience yangu.Kwa wale sita niliokutana nao, wote waliniomba nitumie na ule mtandao wa bei ndogo japo sikuridhia na nilibaki na maswali mengi,inakuwaje watu sita wakawa na same interest..??Should I generalize them or it was just a coincidence..??

Ofcoz it's not coincidence but only hobby!
 
Hii kwa heshima ninayojiheshimu mimi naona aibu hata kusema,ila kwa kuwa nimeulizwa nitatoa xperience yangu.Kwa wale sita niliokutana nao, wote waliniomba nitumie na ule mtandao wa bei ndogo japo sikuridhia na nilibaki na maswali mengi,inakuwaje watu sita wakawa na same interest..??Should I generalize them or it was just a coincidence..??

Kweli mtakatifu nyau umepinda............!:becky:
 
Sifa kubwa ya wanawake wa kiha ni kwamba hawana "collective tabia"
Kila mwanamke ana tabia yake, so you have a wide range of choices
 
Usiwe na wasi wasi kwani ndoa yenyewe haitafungwa. Ni kwamba jana yule wifi yako mtarajiwa aliniuliza tabia za wanaume wa kabila lenu. Ile kumwambia tu, alifuta hadi namba ya kaka yako. Kwa hiyo usijisumbue
😀😀😀
 
Mwidiwe! hakuna kitu,kila mahali wazuri wapo na wabaya pia! Tena wa kasulu na wale wakibondo wote ovyo tu....!ukarimu wa nje ila ndani uozo mbaya...
🤣😂🤣😂😂😂😂🤣😂
 
Mkuu kaka yako kama hana bahati...kayavagaa!
VIumbe wa jamii hio kwanza ni wabaguzi,hawapendagi ndugu wa mwanaume, wajuaji, wanaroho mbaya, ni watu wa shirka sana, wachoyo ilihali wao wanapenda vya watu.

Boss wangu ni muha(demu)izi zote ni itikadi zenye anazo...huwa anafanya lolote ilimambo yake yaende bila kujali utu.
Naomba kuwasilisha.
 
Haki ya mungu...hivi ninyi wote mliotoa comments zenu, za ushirikina, uchawi, kutoka nje ya ndoa etc mna ushahidi wa haya mnayosema? inasikitisha sana kuona karne hii bado kuna watu wa jinsi hii.....if i can ask you guys, unawezaje kujua mtu ni mshirikina if ur not doing the same? Ibilisi humjua ibilisi mwenzie....that is the principles...kwa maana hiyo if these people "Waha" ni washirikiana na wewe unaetoa coment ni Myao, Mgogo, Mhaya au Mchagga, the same way wewe ni mshirikina tu, umeyajuaje hayo? Na mwisho ni kwa muuliza swali, kimsingi swali lako ni la kijinga na halina msingi wowote, if ur brother ka fall na mtu hata angekuwa wa kabila gani, cha msingi wamependana...achana nao, na kama wewe ni mwanake anagalia sana tabia yako "what goes around........comes around"
Punguza kuw seriously 🙂😑😁 mkuu
 
Back
Top Bottom