Mwanamke wa kiha

Mwanamke wa kiha

Haki ya mungu...hivi ninyi wote mliotoa comments zenu, za ushirikina, uchawi, kutoka nje ya ndoa etc mna ushahidi wa haya mnayosema? inasikitisha sana kuona karne hii bado kuna watu wa jinsi hii.....if i can ask you guys, unawezaje kujua mtu ni mshirikina if ur not doing the same? Ibilisi humjua ibilisi mwenzie....that is the principles...kwa maana hiyo if these people "Waha" ni washirikiana na wewe unaetoa coment ni Myao, Mgogo, Mhaya au Mchagga, the same way wewe ni mshirikina tu, umeyajuaje hayo? Na mwisho ni kwa muuliza swali, kimsingi swali lako ni la kijinga na halina msingi wowote, if ur brother ka fall na mtu hata angekuwa wa kabila gani, cha msingi wamependana...achana nao, na kama wewe ni mwanake anagalia sana tabia yako "what goes around........comes around"
wewe mwanamke usiwe mwoga ,usiogope .hakuna siri mbaya watakazo sema, usiwe na munkari .haya mambo madogo madogo usijilinde, au hamtaki kuja kukaa na sisi. hatutukani tukani kama waha.
 
Ushirikina mkuu,hata kama ni msomi ushirikina hawaachi.kuna mmoja ni mhasibu nilimkuta anakunywa doz ya dawa ya kupendwa kazini,asipoteze hela,na asifukuzwe kazi,cha kushangaza alihamishiwa branch nyingine akakaa 2wks akafukuzwa kazi, karibuni ya waha wote iwe wa kike au kiume wanaasili ya ushirikina.

chuki binafsi, kama vipi toa takwimu{figure}.
 
kuna kaka yangu amepata mwanake kutoka kigoma yaani muha,anataka kumuowa
je wanawake wa kiha wanatamaduni zipi na tabia zipi? tusaidieni wana JF

mpaka wamependana na wanataka kuoana alikua wapi kujua sifa za kabila lake, unafiki mbaya!
 
hakuna wanawake wenye tabia nzuri kama waha, ukimpata usiache! ni waaminisfu kwenye ndoa na kama ni jobless basi yuko radhi auze hata mchicha ili angalau achangie kitu kwenye familia. Mimi rafiki yangu kaolea huko wanaishi maisha safi sana. mambo ya ushirikina ni tabia ya mtu, sidhani kama kuna kabila lolote hapa tz ambalo halina mambo ya kishirikina. kwa hiyo huyo mtu mwambie aoe haraka sana kabla huyo mdada hajabadili mawazo. wanasema bahati haiji mara mbili....
 
Sasa jamani, Tanzania hii ni wanawake wa wapi wazuri?
Kila kabila linapigwa marungu tu?
Duuuu@!

Sijawahi kuona mwanamke wa kabila lolote akichambuliwa vizuri humu JF (kama kuna thread ambayo kila mchangiaji alikuwa positive natoa zawadi ya BlackBerry kwa atakayenipa link).
Kila siku utakutana na mwanamke aliyesoma hafai kwa kuolewa, mwanamke aliyesoma anajiona, mwanamke asiyesoma hafai kwa kuolewa, mara wa-Machame wana roho mbaya, mara wa-Ngoni wanapenda ngono, mara wa-Nyaturu ni kama maharage ya Mbeya, mara wa-Haya wanapenda ngono na kujiona, mara wa-Chaga wanapenda pesa, utasikia makabila yote yanapondwa humu JF, wa-Zaramo na ngoma, wa-Safa ni wachafu, wa-Nyaturu watahamia kwako familia nzima etc. Ukifata haya hutakaa uowe, akili ya kuambiwa changanya na ya kwako.
Kama vipi kaoe kabila lako ili uondokane na hii kasumba ya kuulizia habari za makabila mengine.
 
mawifi kiherehere kitawauwa, wenyewe si washapendana? sasa ya tabia unayataka ya nini, kwani wewe ndo utakaeishi nae?
 
Ondoa shaka ni wastahimilivu na hasa unapokuwa wewe unajali mambo yako na kuwaacha wao waishi kwa amani na mumewe ambaye yey ni kaka yako. MYOB, halafu ndakukunda chane
 
Ushirikina mkuu,hata kama ni msomi ushirikina hawaachi.kuna mmoja ni mhasibu nilimkuta anakunywa doz ya dawa ya kupendwa kazini,asipoteze hela,na asifukuzwe kazi,cha kushangaza alihamishiwa branch nyingine akakaa 2wks akafukuzwa kazi, karibuni ya waha wote iwe wa kike au kiume wanaasili ya ushirikina.

Another great tinker, wewe asili yao umeijuaje? Research yako uliichapishia wapi? Hivi wewe unajua baba uliyenaye ni wako? Kwa hiyo kama siyo wako wanawake wote wa kabila la mama yako wako kama mama yako? Think twice before posting rabish.
 
Another great tinker, wewe asili yao umeijuaje? Research yako uliichapishia wapi? Hivi wewe unajua baba uliyenaye ni wako? Kwa hiyo kama siyo wako wanawake wote wa kabila la mama yako wako kama mama yako? Think twice before posting rabish.

Nadhani ingetosha kumuelewwsha tu, na si kusema harakaharaka. ushirikina una tafasiri pana, hauna mwenyewe kwa sasa, ni uamuzi wako tu

NB: Nilipokoleza jaribu kuangalia sp.
 
Nadhani ingetosha kumuelewwsha tu, na si kusema harakaharaka. ushirikina una tafasiri pana, hauna mwenyewe kwa sasa, ni uamuzi wako tu

NB: Nilipokoleza jaribu kuangalia sp.

Mkuu watu wengine wanatakiwa wajibiwe kwa ukali, wanapenda ku-generalize issues, ni problem sana hata maofisini. They don't think outside the box matokeo yake wanacreate havocs. Kuhusu neno tinker, halina makosa yoyote, lina maana nyingi lakini mojawapo ni mischiveous person. Wakati mwingine ni phrasal verb ambayo ni tinker's damn likiwa na maana ya something insignificant na hiyo ndo maana nimemwita great tinker. Kuhusu neno la pili a I agree. Sababu nyingine natumia mobile haina spelling check mkuu.
 
Back
Top Bottom