Mwanamke wa Kimasai wa Loliondo atoa ushuhuda


Mkuu Ulimbo tatizo ni pana zaidi: hata wangekuwa wakenya kama serikali hii isiyo na uwezo wa kufikiri inavyotaka kutuaminisha, ni sheria gani inayosema wageni wa nchi fulani wachomewe nyumba zao, wabakwe na kuteswa? Jumuia ya kimataifa na hususan nchi ya Kenya ikiamua kudai haki za "wakenya" Tanzania itajibu nini? Kati ya majibu ya mawaziri wa JK yaliyo wahi kunichefua ni hili la kuwapa wananchi wa Loliondo "Ukenya" baada ya kuwatesa na kuwabaka. What a lame minister!
 

Bro MKJJ,

Ulichosema hapo ni 100% sie wapiga kura tusipo wabadirikia hawa viongozi wetu wa juuu watendelea kutuburuza tuuuuu,
Inayoniuma ni pale Hospital ya Mwananyamara kweli serikali imeshindwa kugomesha japo ma VX manne na kukarabati au kuboresha Ile Hostipali jamani???? tumekuwaje jamani ni kama wanayama sikuizi????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…