tandamu boy
Member
- Jul 16, 2017
- 25
- 22
Sawa nawasubiliHahaaaaa watakuja maana vigezo vyako very simple. Wenye diploma wapo wengi sana na hawana ajira so nadhani wapo njiani
Sent using Jamii Forums mobile app
SawaUkifanikiwa ulete mrejesho na wengine tuweke tangazo
SawaUkifanikiwa ulete mrejesho na wengine tuweke tangazo
Ahsante mkuuKila la kheri mkuu
hueleweki. Hizo date sites si ni kama hapa tu ama?Waje kufanyiwa 'Interview' sasa.... ila wanawake bhana mbona kuna date sites nyingi tu why kukubali kudhalilishwa humu, lol thinking out loud, no hard feelings.
Peace and Love.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Kule hakunaga mrejesho wa sijui mwanamke namba 1,2,3,4,5..... lolhueleweki. Hizo date sites si ni kama hapa tu ama?
Ila uku napo kuna watoto wakali aisee .ngoja nikipata mmoja wa kuoa ntakupa mrejesho hhahKule hakunaga mrejesho wa sijui mwanamke namba 1,2,3,4,5..... lol
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Lol, kuna takwimu inasema asilimia 95 ni wabaya sasa wewe umewaonea wapi, wengine wanasema asilimia 100 ni wababe hahaha nasubiri mrejesho wako maaana si kwa madongo hayo.Ila uku napo kuna watoto wakali aisee .ngoja nikipata mmoja wa kuoa ntakupa mrejesho hhah
Tandamu maana yake ni mwanamke mwenye shepu la haja nashidwa kuelewa umejiita hvyo kwa misingi ip?hueleweki. Hizo date sites si ni kama hapa tu ama?
tandamu boy Yaani kijana wa kiume anayependa matandamuTandamu maana yake ni mwanamke mwenye shepu la haja nashidwa kuelewa umejiita hvyo kwa misingi ip?
Waje kufanyiwa 'Interview' sasa.... ila wanawake bhana mbona kuna date sites nyingi tu why kukubali kudhalilishwa humu, lol thinking out loud, no hard feelings.
Peace and Love.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Au sio.... tisha sana jombaaaaa
Unaogopa kusanuliwa?? Sisi akili zetu tunazijua wenyewe ... Jidanganye utajwe jina dadeck..
Ohoo.Kule hakunaga mrejesho wa sijui mwanamke namba 1,2,3,4,5..... lol
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Thank youAll the best