Mwanamke wa kuoa anatafutwa

Mwanamke wa kuoa anatafutwa

tandamu boy

Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
25
Reaction score
22
Husika na kichwa cha barua hapo juu,

Sifa za mke.
-Umri miaka 26-30
-Maji ya kunde au mweupe
-Elimu kuanzia diploma
-Ajue kupika
-Mwenye msambwanda atafikiliwa zaidi

Sifa zangu.
- Miaka 32
- Degree holder
- Working
- Mengine mteule atajulishwa.

Contacts. Pm is open.

Karibu.
 
Ukifanikiwa ulete mrejesho na wengine tuweke tangazo
 
Waje kufanyiwa 'Interview' sasa.... ila wanawake bhana mbona kuna date sites nyingi tu why kukubali kudhalilishwa humu, lol thinking out loud, no hard feelings.

Peace and Love.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
hueleweki. Hizo date sites si ni kama hapa tu ama?
 
Ila uku napo kuna watoto wakali aisee .ngoja nikipata mmoja wa kuoa ntakupa mrejesho hhah
Lol, kuna takwimu inasema asilimia 95 ni wabaya sasa wewe umewaonea wapi, wengine wanasema asilimia 100 ni wababe hahaha nasubiri mrejesho wako maaana si kwa madongo hayo.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Waje kufanyiwa 'Interview' sasa.... ila wanawake bhana mbona kuna date sites nyingi tu why kukubali kudhalilishwa humu, lol thinking out loud, no hard feelings.

Peace and Love.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.

Unaogopa kusanuliwa?? Sisi akili zetu tunazijua wenyewe ... Jidanganye utajwe jina dadeck..
 
Au sio.... tisha sana jombaaaaa

Back
Top Bottom