Mwanamke wa kuoa

Diaryjr

Senior Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
190
Reaction score
136
Mimi sio mgeni huku na nakiri kuwa hii ni ID yangu ya pili.
Umri na wakati wa kuoa umefika na naomba kutumia jukwaa hili kutafuta mwenza ikiwezekana mapema mwakani tufunge ndoa.

Sifa zangu ni kama ifuatavyo.
1. Me
2. 34 years
3. Maji ya kunde
4. Lutheran
5. Mfanyabiashara na mtafiti wa masoko.
6. Natumia kilevi
7. Nina mtoto mmoja
8. Chagga
Mwanamke ninaemtaka awe na sifa zifuatazo.
1. 28 years and below that.
2. Mweupe/Maji ya kunde
3. Asiwe mnene
4. Lutheran
5. Awe anatoka mkoa wowote wa hl Kaskazini.
6. Kazi yake sio muhimu sana lakini iwe ya heshima.
7. Awe na mapenzi kwa mtoto Wangu (Muhimu sana)
8. Awe ameshamaliza maisha ya ujana na yupo tayari kuishi kwenye ndoa.

Nawakaribisha wale ambao mpo serious. Sitaki tupotezeane muda kwenye swala hili.

Asanteni
 
Taja kazi ambazo sio za heshima

Unaweza pata mwalimu lakini malaya au
Ukapata muuza vileo lakin anajiheshimu

Choose wisely
Kuna Kazi kama ya bar mazingira yanapelekea kuwa sio ya heshima
 
Sasa mkuu below 28 si ndio ujana umekolea hapo? Ukitaka walioacha mambo ya ujana labda uchukue wa above 39 huko
 
Sasa mkuu below 28 si ndio ujana umekolea hapo? Ukitaka walioacha mambo ya ujana labda uchukue wa above 39 huko
Wapo wenye umri huu na wanajielewa vizuri mkuu
 
mmmmmhh ivo vigezooo ........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…