ConsciousMan
Member
- Mar 28, 2018
- 58
- 70
Nipo hapa kutafuta mwanamke ambae nitazaa nae mtoto/watoto
Usijitoe akiliMwanamke wa kuzaa naye watoto??---- yaani mwanamke anapoenda kuzaa na wewe uende kuzaa naye mtoto??!, toka lini mwanaume akazaa??, mkuu hebu fafanua vizuri kwani kama unatafuta mwanamke wa kuzaa naye hao wapo wengi sana huko mahospatalini.
Usijitoe akili
Huo ujauzito kabla ya kumpa huyo mwanamke, ANAKUWA NAO YEYE..!?"Ni Mwanamke wa kumpa ujauzito".
Nimeitoa akili yako kutoka kwenye reli ya kati na nimeiweka kwenye reli ya SGR. Tutamkumbuka Magu.🤣
Huko alikoanzia DIAMOND..!?Watajie mali zote ulizo nazo kwanza.
Sio umepanga Tandale
Huo ujauzito kabla ya kumpa huyo mwanamke, ANAKUWA NAO YEYE..!?
Nimesema hivi... USIJITOE AKILI
Nimesema hivi, USIJITOE AKILI... nijuacho wewe una akili nzuri tu...Kumtia uzito mwilini mwake= kumpa ujauzito au kumfanya awe mzito au kumfanya tumboni awe na mtoto, huyo mtoto akiwa tumboni huo ndiyo UZITO wenyewe yaani kujaa uzito. Hadi hapo tu akili yako bado ni kaput usindwe kuelewa???
Na Sio kuzaa naye!!!, uzae naye wewe nani kakupa ujauzito??🤣
Wewe ndiye utakuwa umejitoa akili kwa kuamini kwamba wewe mwanaume unaweza kuzaa, au wewe unaweza kuzaa??🤣🤣
Nimesema hivi, USIJITOE AKILI... nijuacho wewe una akili nzuri tu...
Kuzaa ni nini!?Mimi siwezi kuzaa, je wewe mwenzangu unaweza kuzaa??--- mimi najua umenielewa vyema ila sijui kwanini hutaki kukubali!!!🤣
Umeelewa swali!? Sijakuuliza kuzaa ni nini kwa kiingerezaGive birth
Kuzaa ni nini!?
akuzalie watoto
Kwani mtandaoni ni mbali saana kuliko mtaani?Umri: 31.
Kazi: mjasiriamali
Nia: mwanamke wa kuzaa naye mtoto.
Swali 1: Ni changamoto gani unazokutana nazo katika kutafuta wanawake katika mazingira yanayokuzunguka mpaka kukupelekea kuanza kutafuta mtandaoni, ukilinganisha wewe ni mjasiriamali na nina uhakika unakutana na watu wengi katika harakati za shughuli zako, hakuna hata mmoja uliyebahatika? Kama hapana kwanini?
Swali 2: Kwanini wa kuzaa naye tu watoto na ndoa kuwekwa kama optional?? Nia yako ni watoto tu? Na kwanini watoto?
Umri wako mkuu ni ajabu sana kutafuta mwanamke wa kuzaa naye tu tena mtandaoni, lazima kuna kitu hakipo sawa kwako.
Afisa usalama😆😆Umri: 31.

Huku kafika mbali.Kwani mtandaoni ni mbali saana kuliko mtaani?
Mwingine eti, "unampendaje mtu kwa kukutana nae tu kwenye daladala!?
Mkuu maisha ya sasa yanahitaji akili sana kuliko nguvu, hii ni hadi kwenye kutafuta pesa. Ulimwengu umebadilika sana aiseeAfisa usalama[emoji38][emoji38]