royal tourtz
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 255
- 326
za mda huu wadau,
Niende kwenye mada moja kwamoja, tofauti na zamani ilivyokuwa, yaani mwanaume akitaka kuoa anatatafuta dogo dogo amkuze mwenyewe.. na wengi ilikuwa dogodogo wa kipindi hicho walikuwa wanakutwa bado bikra kabisa na unamtengeneza unavyotaka wewe.
Kwa sababu zana ya kupata mwanamke bikra kwa sasa imeondoka na hakuna tena kuweka shuka jeupe siku ya kwanza ya ndoa maana watoto wanaliwa kwa chumvi wakiwa na miaka 12 tu tayari mababa ishafanya yao bila huruma.
Lakini pia kwa sasa mwanamke au msichana chini ya miaka 27, bado anakuwa na mambo mengi.. yaani full kununa ana anajiona bado umri unarusu na yeye anajiweka kibiasashara zaidi na sio kindoa. maana offa hapo ni nyingi sana na anawapanga wanaume kama wote.. hivyo kusababisha kuwavunja moyo waoaji.
Lakini mwanamke wa miaka 27, kuendelea huwa hana maringo ya kujinga na wengi wameshapitia maisha ya kila namna na sasa anahitaji heshima ya ndoa tu. maana ameshajua wanaume tuna tabia zetu hata kama tukioa.. mwanamke wa miaka hiyo huwezi sikia kavunja mji kwa vile amesikia kuwa mmewe anamchepuko maana anajua mwanaume kuwa na mchepuko ni SSUNNA kikubwa dharau isiwepo, na hiyo amejifunza kwenye miaka yake kwani alishatogozwa na waume za watu wa kutosha lakini bado hao waume za watu hawakuvunja miji zao kwa sababu yake. ameshajua mwanaume kuwa na mchepuko sio sababu ya kutompenda mkewe hivyo yeye atajua kuwa bado anapendwa hata kama yuko mchepuko.
Mwanamke wa umri huo huwa anakuwa makini sana pale anapoanzisha mahusiano ambayo anaona huyo mwanaume ni kweli anampango naye wa maisha.. hata mizinga yake sio kama ya Urusi kwa Ukrain.. atakuwa anatuma mizinga ya tahahari na akiona hayana matokeo atajitahidi kukutia moyo ili mwaume uone kuwa hayuko kimasrahi. ila hawa wadogo.. usipompelekea chips na kumtoa out, tayari amenununa vibaya mno.
CHANGAMOTO.
Tatizo la hawa wengi wao huwa tayari ni super woman A.K.A single mothers.. wakati tayari wanaume wa jamii forum tulishakubaliana kama hujaona kaburi la baba mtoto na cheti cha kifo we piga na ulale mbele kwa mbela. Huwa wanapenda kwa kumaanisha na kujitoa hasa kwa mwanaume ila tatizo ni sisi wanaume huwa tumepitia kuumizwa sana huko tulikotoka sasa ukikutana na wa hivyo unaamua ujilipie machungu na huna mpango naye