Mwanamke wa mkoani kaniingiza mjini, naomba msaada wenu

Baba jayaron

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
4,324
Reaction score
5,933
Wasalaam,

Ebana sina mengi sana, ila ni kwamba nimeingizwa mjini kiasi cha kuharibu msimamo wangu niliojiwekea maishani mwangu. Iko hivi nimekua na mahusiano tofauti tofauti kwa wakati mmoja huku nikizingatia usalama wa Afya yangu (lazima tupime VVU) kabla ya kula mzigo.

Kwa bahati nzuri hawa mademu nakuaga nao wananikubali sana yaani ni kama makondoo kwangu na mi mchunga wao, kila nisemalo wanafuata.

Hasa kwenye kipengele cha kushika mimba (maana karibu wote wanataka kubeba mimba yangu) sasa nimewapiga biti kwamba wakibeba tu mi napiga chini kabisa na kuikana hio mimba, so ka anataka asubiri nikimuoa.

So mambo ya kumimina nje ya kikombe mi sio shida kwangu akizingua namgonga P2.

Sasa nilitokewa mtandaoni WhatsApp group ya kuuza vitu online na dada mmoja single maza kutoka mkoani huko wale wa kujinyonga.

Sikua na hiyana nikijua yuko mbali ntamzuga zuga bana na hivo nimeona ni mkubwa kanizidi ka 3 yrs. Kumbe bana alikua serious akajilipia nauli mwenyewe mpaka Dar, nikagonga show moja hatari saana maana ye mwenyewe ni master ukiwa mzembe anakukata pumzi, basi alizidi kunielewa akaniambia hata nifanyeje hapindui maana hajawahi kutana na mwanaume wa Dar strong hivi ka natoka milimani huko๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Kurudi huko mkoani kila saa msg simu fulu vurugu ameimiss amenimiss akafunga tena safari akaja tena kama kawa ila baada ya first round bila ku withdraw ananiambia yupo siku 15 hivo anaweza shika mimba, nikamwambia ni makosa akasema atakunywa P2 nikasema ๐Ÿ‘. Siku ya 3 ananiambia ndo amemeza P2.

Akawa analalamika anajiskia vibaya nikamwabia ni dawa izo so hali ilipo zidi anadai ameenda hospital amekutwa na ujauzito, na anadai ni wangu hivo amechanganyikiwa hajui afanyeje!

Sikumjibu kitu, akaja na wazo aitoe nikamwambia sijawahi na sitowahi kumshawishi mtu atoe mimba, so ataamua chakua amua nami nitamkubali mtoto mpaka hapo atakapo zaliwa na kumpima DNA. JE, NIKO SAHIHI?
 
Mrudishe kijijini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ