Mwanamke wa mkoani kaniingiza mjini, naomba msaada wenu

Wasalaam,

Ebana sina mengi sana, ila ni kwamba nimeingizwa mjini kiasi cha kuharibu msimamo wangu niliojiwekea maishani mwangu. Iko hivi nimekua na mahusiano tofauti tofauti kwa wakati mmoja huku nikizingatia usalama wa Afya yangu (lazima tupime VVU) kabla ya kula mzigo.

Kwa bahati nzuri hawa mademu nakuaga nao wananikubali sana yaani ni kama makondoo kwangu na mi mchunga wao, kila nisemalo wanafuata.

Hasa kwenye kipengele cha kushika mimba (maana karibu wote wanataka kubeba mimba yangu) sasa nimewapiga biti kwamba wakibeba tu mi napiga chini kabisa na kuikana hio mimba, so ka anataka asubiri nikimuoa.

So mambo ya kumimina nje ya kikombe mi sio shida kwangu akizingua namgonga P2.

Sasa nilitokewa mtandaoni WhatsApp group ya kuuza vitu online na dada mmoja single maza kutoka mkoani huko wale wa kujinyonga.

Sikua na hiyana nikijua yuko mbali ntamzuga zuga bana na hivo nimeona ni mkubwa kanizidi ka 3 yrs. Kumbe bana alikua serious akajilipia nauli mwenyewe mpaka Dar, nikagonga show moja hatari saana maana ye mwenyewe ni master ukiwa mzembe anakukata pumzi, basi alizidi kunielewa akaniambia hata nifanyeje hapindui maana hajawahi kutana na mwanaume wa Dar strong hivi ka natoka milimani huko😁😁

Kurudi huko mkoani kila saa msg simu fulu vurugu ameimiss amenimiss akafunga tena safari akaja tena kama kawa ila baada ya first round bila ku withdraw ananiambia yupo siku 15 hivo anaweza shika mimba, nikamwambia ni makosa akasema atakunywa P2 nikasema 👍. Siku ya 3 ananiambia ndo amemeza P2.

Akawa analalamika anajiskia vibaya nikamwabia ni dawa izo so hali ilipo zidi anadai ameenda hospital amekutwa na ujauzito, na anadai ni wangu hivo amechanganyikiwa hajui afanyeje!

Sikumjibu kitu, akaja na wazo aitoe nikamwambia sijawahi na sitowahi kumshawishi mtu atoe mimba, so ataamua chakua amua nami nitamkubali mtoto mpaka hapo atakapo zaliwa na kumpima DNA. JE, NIKO SAHIHI?
Dna eeh omba asikuwahi yeye ile ofisi utamtunxa mwanao mpwaa ile ofisi sikuhizi siooo na nasema muwasaidia usimwambje mwanamke nakupeleka dna
Na mwanao akikuwahj jibu n + best hata awe mwarabuuuuu
 
Kwa nilivyoelew hiyo mimba si ya kwako ni ya P2
We subir ukapime DNA halafu uone
Inawezekana au aliitegesha makusudi... hata hivyo kanaiambia atailea mwenyewe kikubwa nijue anamimba yangu.... kuna mda nahisi pengine ni mke wa mtu
 
Wameshtuka wadada wengi wanabeba mimba za watu so kua avoid watoto wasio na wazazii wengi majibu n + labda uwe na nduguyako upande wa mwanaume kule aamue kujilipua kukupa ukweli

Familia nyingi zinaishi na watoto wa watu zinatunza chasska sasa ujue Mungu alivyo fundi yule unaemuhisi sio wako yaani kuanzia shule kimaisha anakuja kutoboa kuliko unavyofikiria

Mimi ukweli natunza wote hatakama wa kaka yangu ama lah mimi natunza tu ipo siku watanikumbuka dady alipambana na sisi woiiiiiii kisa cha kufa uzee huu nani anataka
 
Umalaya sio dili baki njia kuu. Tafuta mwanamke mmoja wa kuspend naye hayo maisha uliyobakiza hapa duniani
 
Dna eeh omba asikuwahi yeye ile ofisi utamtunxa mwanao mpwaa ile ofisi sikuhizi siooo na nasema muwasaidia usimwambje mwanamke nakupeleka dna
Na mwanao akikuwahj jibu n + best hata awe mwarabuuuuu
Hata ivo nitafanya ivo kisiiri na kawaida damu zetu huwa azipotei maana ni kopi
 
Wasalaam,

Ebana sina mengi sana, ila ni kwamba nimeingizwa mjini kiasi cha kuharibu msimamo wangu niliojiwekea maishani mwangu. Iko hivi nimekua na mahusiano tofauti tofauti kwa wakati mmoja huku nikizingatia usalama wa Afya yangu (lazima tupime VVU) kabla ya kula mzigo.

Kwa bahati nzuri hawa mademu nakuaga nao wananikubali sana yaani ni kama makondoo kwangu na mi mchunga wao, kila nisemalo wanafuata.

Hasa kwenye kipengele cha kushika mimba (maana karibu wote wanataka kubeba mimba yangu) sasa nimewapiga biti kwamba wakibeba tu mi napiga chini kabisa na kuikana hio mimba, so ka anataka asubiri nikimuoa.

So mambo ya kumimina nje ya kikombe mi sio shida kwangu akizingua namgonga P2.

Sasa nilitokewa mtandaoni WhatsApp group ya kuuza vitu online na dada mmoja single maza kutoka mkoani huko wale wa kujinyonga.

Sikua na hiyana nikijua yuko mbali ntamzuga zuga bana na hivo nimeona ni mkubwa kanizidi ka 3 yrs. Kumbe bana alikua serious akajilipia nauli mwenyewe mpaka Dar, nikagonga show moja hatari saana maana ye mwenyewe ni master ukiwa mzembe anakukata pumzi, basi alizidi kunielewa akaniambia hata nifanyeje hapindui maana hajawahi kutana na mwanaume wa Dar strong hivi ka natoka milimani huko😁😁

Kurudi huko mkoani kila saa msg simu fulu vurugu ameimiss amenimiss akafunga tena safari akaja tena kama kawa ila baada ya first round bila ku withdraw ananiambia yupo siku 15 hivo anaweza shika mimba, nikamwambia ni makosa akasema atakunywa P2 nikasema 👍. Siku ya 3 ananiambia ndo amemeza P2.

Akawa analalamika anajiskia vibaya nikamwabia ni dawa izo so hali ilipo zidi anadai ameenda hospital amekutwa na ujauzito, na anadai ni wangu hivo amechanganyikiwa hajui afanyeje!

Sikumjibu kitu, akaja na wazo aitoe nikamwambia sijawahi na sitowahi kumshawishi mtu atoe mimba, so ataamua chakua amua nami nitamkubali mtoto mpaka hapo atakapo zaliwa na kumpima DNA. JE, NIKO SAHIHI?
acha uzinzi
 
Karibu mjini mwanetu, huku kikubwa akili tu.
 
Back
Top Bottom