Mwanamke wa Tisa Auawa eneo la Ekurhuleni, mashariki mwa Johannesburg, Kamishna Asema Wanawake “Wanawindwa”

Mwanamke wa Tisa Auawa eneo la Ekurhuleni, mashariki mwa Johannesburg, Kamishna Asema Wanawake “Wanawindwa”

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mwanamke wa tisa amepatikana akiwa amefariki dunia katikati ya wimbi la mauaji linaloendelea katika eneo la Ekurhuleni, mashariki mwa Johannesburg, Afrika Kusini.

Kamishna wa Usawa wa Kijinsia, Princess Eurika Mogane, aliiambia Al Jazeera kuwa vitendo hivyo vya ukatili vinahisi kama “vita”, huku akisema wanawake “wanawindwa.”
  • "She's my running friend. We've been running for about 2 years together now... This is a war. It feels like individuals are being hunted." ("Ni rafiki yangu wa mchaka mchaka. Tumekuwa tukikimbia pamoja kwa karibu miaka 2 sasa... Hii ni vita. Inahisiwa kama watu wanawindwa.")
  • "What I saw was a woman who chose to take care of herself and make a decision she's probably made a thousand times before, which is just to go for a run. And on that run, on this particular day, she then had her life taken away from her." ("Nilichoona ni mwanamke aliyeamua kujitunza na kufanya uamuzi ambao pengine ameufanya mara elfu kabla, ambao ni kwenda tu kukimbia. Na katika mchaka huo, siku hiyo, maisha yake yakachukuliwa.")
  • "So you are basically telling us to adjust our lives to perpetrators." ("Kwa hiyo kimsingi mnatuambia tubadilishe maisha yetu kulingana na watenda makosa.")
Kuhusu uwajibikaji wa serikali na manispaa:
  • "If you're telling us to avoid abandoned or dangerous areas where the grass might be tall, it is the municipality's job and the government's job to take care of those areas." ("Kama mnatuambia tuepuke maeneo yaliyotelekezwa au ya hatari ambapo nyasi zinaweza kuwa ndefu, ni kazi ya manispaa na serikali kutunza maeneo hayo.")
  • "They promised and said there would be cameras across our towns. Individuals are asking right now, are those cameras really active? Are they working?" ("Waliahidi na kusema kutakuwa na kamera katika miji wetu. Watu wanauliza hivi sasa, je kamera hizo ni amilifu kweli? Je zinafanya kazi?")
Kuhusu uchunguzi na hatua zilizochukuliwa:
  • "This is not an investigation that you can rush because it's quite complex. It involves a lot of women that have been murdered." ("Huu sio uchunguzi unaoweza kuuharakisha kwa sababu ni tata sana. Unahusisha wanawake wengi ambao wameuawa.")
Soma Pia: Afrika Kusini: Mmoja wa viongozi wa harakati za Xenophobia auawa

 
Back
Top Bottom