Mwanamke wako ana mpango mbadala

Kuna kamsemo kanasema mtoto umleavyo ndio akuavyo
So acheni kututisha sana
Mm nko arusha nimeoa mwanamke wa lindi arusha hana ndugu jamaa wala rafiki sasa iyo replacement anaitoa wap
 
S
Sio kweli, Napinga kwa herufi kubwa.
 
Ni kweli mkuu
 
Tatizo ni moja kila husiano lazima aangukie pua ๐Ÿคฃ natania
Vyovyote vile ila mengi ya ambayo huwa anasema ni kweli. Mi nakumbuka kuna bidada mmoja alinionyesha text za mwanaume fulani hivi akimtongoza. Nilijua hizo zilikuwa ni trick za kucheza na akili yangu but nikavunga tu. Baadaye siku hiyo hiyo jioni nikafuma text kwenye simu yangu akiwa anachat na bwana wake mwingine. Yaani alitumia simu yangu kuchati na huyo jamaa mwingine. So, hawa hatu sio hata wa kuwachukulia serious...
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Zipo za bukubuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ