TozzyMay
JF-Expert Member
- Dec 30, 2023
- 482
- 1,787
Naunga Mkono Hoja.Nikaprint tu hili gazeti niweke lamination then nikaubandike ukutani geto!
--->stationary just now
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga Mkono Hoja.Nikaprint tu hili gazeti niweke lamination then nikaubandike ukutani geto!
Huyu namzoom tuu ipo siku ata sema mzabzab nakubali penzi lako
🤣🤣🤣🤣Una uhakika bikra halisi? 😹
Sasa kisa umemtoa bikra hata km hueleweki akuzingatie?? Pole sana kiongozi
Tatizo ni moja kila husiano lazima aangukie pua 🤣 nataniaNatafuta ajira ni aina ya wale ma-bro wanakuchana ukweli mpaka unaona kama wanoko wanoko flani hivi ila ukitulia unaona wametema point tupu...
Sio kweli, Napinga kwa herufi kubwa.Inawezekana ukawa unampenda, unamuamini au una malengo nae kwaiyo ukakataa kukubaliana na ninachokisema hapa, lakini huu ni ukweli mchungu ambao kwa kuwahi au kuchelewa kuelewa lazima ukubaliane nao.
Ukweli ni kwamba uyo mwanamke ulienae ana list ya replacements wako. Wanaume hawa kawaweka kwenye friendzone na itakapotokea selfish demands zake kutoka kwako hazijatimia basi anaswitch upande mwingine.
Kuna jamaa anasubiri uachwe ili yeye achukue nafasi, kuna jamaa wapo uko dm zake kwenye mitandao ya kijamii, kuna jamaa uko ofisini, chuoni, mtaani kwake n.k wanampigia timing.
Utakua mjinga ukifikiri uyo mwanamke wako hawazingatii hawa wanaomtongoza, utakua mjinga zaidi ukimuamini kwa sababu anakuletea kesi za hawa wanaomtongoza. Ukweli ni kwamba atakuambia kuhusu ambao hana interest nao kabisa lakini wale ambao ana interest nao hatokuambia, utakuja kugundua tu tayari ushakua replaced.
Uwezekano wa kukuacha kwa ajiri ya mwanaume mwingine mwenye mafanikio zaidi yako ni mkubwa sana. Uwezekano wa mwanamke kuwa na mafanikio kukuzidi wewe ni mkubwa zaidi. Kumbuka yeye ana thamani ambayo ni mwili wake ni suala la kukutana na mwekezaji kwenye iyo thamani yake lakini wewe hauna thamani unatakiwa kuitengeneza thamani yako.
She may dating you while you are not stable financially but you will be a fool to think she is doing you a favor. The truth is, at that point you are her better option, when the best option show up along the way she will dump you for him without considering your sacrifices.
With women nothing is certain, anything can happen at any time.
Kwanini nakuambia haya?
Sikuambii ili uachane na mwanamke wako, ili umtreat vibaya au umuogope. Nakuambia haya ili na wewe pia uwe na mpango mbadala.
Sasa nisome kwa makini. Ninaposema uwe na mpango mbadala simaanishi kwamba na wewe uwe na circle ya wanawake. Infact iyo itakurudisha nyuma kimaendeleo kwa sababu uhusiano wowote na mwanamke ni liability, kwa maana iyo ukitengeneza circle na wanawake maana yake itakugharimu muda, umakini na rasilimali/hela.
Mpango mbadala ninaoumaanisha ni mafanikio yako. Work hard to be the best version of yourself, be financially stable and build your value. That's is a man's ultimate plan.
Unatakiwa kujua, mwanamke tayari anayo thamani kwenye mwili wake ya kumpa mpango mbadala, lakini mwanaume thamani iyo unatakiwa kuitengeneza kwenye akaunti yako ya benki.
Na hii ndio sababu wewe kama kijana unatakiwa kuacha mara moja kuwekeza kwa mwanamke ili upate sifa za kijinga. Your focus should be investing in yourself, your mind and your financial life. Build yourself and not a woman or relationship.
Don't put yourself under pressure to impress a woman. Women are cheap, are everywhere and almost all of them have just one same thing to offer(their private part). It just a matter of your value, build your value and see how women are senseless with their delusional entitlement.
Ukifeli kimaisha utampoteza uyo mwanamke, utapoteza furaha, amani, uhuru na hautakua na mpango mbadala.
Ngojea ufurahishwe mkuuKuna kamsemo kanasema mtoto umleavyo ndio akuavyo
So acheni kututisha sana
Mm nko arusha nimeoa mwanamke wa lindi arusha hana ndugu jamaa wala rafiki sasa iyo replacement anaitoa wap
😀😀😀😀Tatizo ni moja kila husiano lazima aangukie pua 🤣 natania
Ni kweli mkuuHuna cha kufanya ili mwanamke akupende. Wanawake wana mambo mengi wanayoyataka, UTAYAWEZA? Anatakiwa mwanamke akupende tu unconditional na wewe unatakiwa uwe best choice kwake. Ukiona unafanya juhudi ili mwanamke akupende, huyo mwanamke anakutumia tu wewe SIMP kama daraja kufikia malengo yake ya muda mfupi.
Mwanamume unatakiwa u focus kwenye MALENGO yako na WANAWAKE watakutafuta wenyewe. uki focus kwa mwanamke utakosa kila kitu na hatimaye utabaki huna chochote wala lolote.
Hata siku moja usijitese ili umridhishe mwanamke. Mwanamke anatakiwa kuridhika yeye mwenyewe. Bila hivyo, utakuwa unatwanga maji kwenye kinu. Umsimpatie kitu chako cha thamani ambacho siku atapokuacha UTAJUTA kwa nini ulimpatia.
Vyovyote vile ila mengi ya ambayo huwa anasema ni kweli. Mi nakumbuka kuna bidada mmoja alinionyesha text za mwanaume fulani hivi akimtongoza. Nilijua hizo zilikuwa ni trick za kucheza na akili yangu but nikavunga tu. Baadaye siku hiyo hiyo jioni nikafuma text kwenye simu yangu akiwa anachat na bwana wake mwingine. Yaani alitumia simu yangu kuchati na huyo jamaa mwingine. So, hawa hatu sio hata wa kuwachukulia serious...Tatizo ni moja kila husiano lazima aangukie pua 🤣 natania
😅😅😅 Zipo za bukubukuAta kila mwanaume ana value yake kulingana na urefu wa mfuko wake.
Wee bwana sie huko mashuleni chuo kikuu makazini tumekutana na wanawake sura mbaya tako hana akitongozwa january 2020 mtongozo mwengune ni 2024 sasa huyo options anapata wapi?
Mwanamke mzuri pekee ndio anakiwa na options vile vile mwanaume mwenye hela ndio anakuwa na options. Mwanaune huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni unadhani mbususu utainea wapi kama sio kwenye porno🤣🤣🤣🤣
Mwanaune mwenye hela unadhani atagegeda mwanamke mbaya ah wapi. Only beautiful women have options bro
😂😂😂😂Nimecheka had nimepaliwaHuyu namzoom tuu ipo siku ata sema mzabzab nakubali penzi lako
Yaani kaniacha hoiii😅😅Na kakuganda unalo sis 😹😹
Huyo mzabzab akili zake anazijua mwenyewe..!
Pole😂😂😂😂Nimecheka had nimepaliwa
Mkubali aache vituko 😹Yaani kaniacha hoiii😅😅