Mwanamke wako ana mpango mbadala

Live long bro
 
Nenda direct girl sema mimi ni gay then nafanya advertisement kwenye hii threads
 
Nakukubali sana Mwamba.....natamani siku moja tukutane live......You are My Role Model
 
Na hii ndio sababu wewe kama kijana unatakiwa kuacha mara moja kuwekeza kwa mwanamke ili upate sifa za kijinga. Your focus should be investing in yourself, your mind and your financial life. Build yourself and not a woman or relationship.
Kuna dogo jana kapost Anataka ushauri achague demu gani kati ya wawili. Yeye mwenyewe umri wake miaka 23.

Nilimuonea huruma sana unlesss awe ni Mtoto wa Mwigulu, Chongole au Mtoto wa Kamanda Muliro. Nje ya hapo dogo atafika miaka 40 akiwa amechoka sana
 
Umetema madini sana👍. Sema unapiga spana sana hii gender, nimejaribu kufikiri tu, maybe wayback ulikutana na something ambayo imeku-influence uwapige spana hawa viumbe.
Dunia imemezwa na mfumo jike/feminism, taratibu kizazi cha mwanaume halisi kinaenda kupotea. Lazima tuchukue hatua kabla jahazi halijazama kabisa.
 
Kuna mmoja alikuwa ananiambia kuna kajamaa kafupi keusi kananisumbua sikapendi kweli yani na block alimpiga huyo mchizi. Ila cha ajabu sasahivi ndo kaolewa nae huyo msela, hawa viumbe nimeshindwa kuwaelewa kabisa kmmk
 
Harakati za kupata utelezi zimekua kipingamizi kikubwa sana kwenye maendeleo ya vijana wa kiume wa kizazi cha leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…