Mwanamke wako ana mpango mbadala

Fact,
Wanawake wana options nyingi sana, ukiona unamringia na bado anakung'ang'ania ujue bado anakupenda au kuna vitu anapata kutoka kwako.

Akishakuwa na uhakika kuvipata kwingine you're dead my friend.

Japo kuna age nao wakifika ile demand inashuka sana, wanasumbuka sana kuanza mahusiano mapya.
 
------
 
"Utakua mjinga ukifikiri uyo mwanamke wako hawazingatii hawa wanaomtongoza, utakua mjinga zaidi ukimuamini kwa sababu anakuletea kesi za hawa wanaomtongoza. Ukweli ni kwamba atakuambia kuhusu ambao hana interest nao kabisa lakini wale ambao ana interest nao hatokuambia, utakuja kugundua tu tayari ushakua replaced" point ya msingi kwa vitoto vya 2000's
 
Muda ni katili sana kwa wanawake. Wana takribani miaka 10 tu ya kutamba kwenye dating pool.
 
Ukweli mchungu
Bro kuna demu nimemtoa bikra Mimi Ila tangu tuachane hajawai kanitafuta Hata Kwa Bahati mbaya najiuliza ni kubuli cha namna Gani anacho yule mwanamke..

Daah kweli wanaume mnatuonaga hatuna pa kwenda kisa mmetukula[emoji2][emoji2]

Dunia imebadilika jmn
 
Uzi Bora wa kumaliza mwaka.......👍👍👍
 
Kama kuna mtu anamsubiri huko ulikosema, hamna shida aendelee kusubiri maana maisha ni foleni kuu, usiogope et kwa sababu kuna Watu wako DM au sijui wapi, maana hata kabla hajawa wako na wewe ulishinda huko huko DM, kwangu replacement wasubiri nikifa, maana hakuna replacement hapa katikati waendelee na uvumilivu huko DM
 
Mimi huyu Mke Wangu Sometimes Huwa Tunavurugana Ile Kweli Lakini Baadae Nikitafakari Nikikumbuka Aliponitoa Nilikuwa sifuri nashinda maskani kupass mjani tu hadi sasa nami kati ya watu nasimama. Jumlisha na Hawa Watoto Tuliobarikiwa Kuwapata Niseme Tu Namkubali ile Sanaaa!! Hakuna Mkamilifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…