Mwanamke wako ana mpango mbadala

Anaweza akakuambia kwa lengo la kuku-preempt.
 
Ah mie nilikuwa bacbencher na domo zege. Umenikumbusha nilikuwa nampenda dada mmoja anaitwa sophia....form 2 hiyo mzeya kila nikitaka kumtongoza naishia kwenye mambo mrembo🀣🀣🀣🀣
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mimi primary nilikua backbencher sema sio domo zege halafu nilikua kichwa wa darasa sema tu nilikua mdogo kuchakata mbususu. Lakini olevel nikafaulu kwenda Azania pale boyz tupu ila mbususu za jangwani, zanaki na shaban robert nilizichakata sana
 
Ukiachwa zoea tafuta maisha yako na tafuta wa size yako. Kujiumiza kichwa ni mwanzo wa kufeli. Akisepa mpe baraka zote akibaki mpe nafasi. Kuishi kwa stress za kumwazia mwanamke kutakuja kutuchanganya na kutufelisha mishe zetu katika hii maisha. Ila kubwa umesena vijana tusiwekeze kwa mwanamke utakuja changanyikiwa
 
Ukweli mchungu
Bro kuna demu nimemtoa bikra Mimi Ila tangu tuachane hajawai kanitafuta Hata Kwa Bahati mbaya najiuliza ni kubuli cha namna Gani anacho yule mwanamke..
Kuna manzi niliwahi date nae, Kipindi tuko kwenye mahusiano alikuwa anawasiliana na ex wake mpaka ikafikia kipindi nikamkataza. Huyu manzi tuko tumeachana nae mimi hanitafuti hata kidogo. Hii sometimes inakata stimu maana unajua ex wake uenda alikuwa na thamani kwake zaidi yako kabisa.
 
Shida ni huu ufala wa vijana kuwekeza kwenye mahusiano. Unakuta kijana anamhudumia demu kuanzia kula, kulala, mavazi na bata sasa ukija wakati wa kuachana akikumbuka sacrifices na devotions zake ni ngumu sana kukubali safari ya mapenzi iishie hapo. Mwisho wake ndio yale ya msukuma na penny kule goba.
 
Kabisa aisee kuwekeza kwa mwanamke daah yataka moyo wa chuma na wakusahau haraka.
 
Kwa yaliyowahi kunikuta,ni umemaliza kila kitu mkuu!
 

Niongezee tu hapo...

Wala huitaji kufeli maisha ili uachwe!

Kitu kimoja ambacho wanaume wengi hatujui ni kwamba, mwanamke hata umfanyie nini, kuna uwezekano mkubwa sana atakuacha pindi akitokea mwanaume mwenye hela kuliko wewe! Wanawake wanavutiwa sana na hela kuliko kitu kingine chochote hapa duniani. Wewe simamia kucha, nyonya matundu, lamba, nk lakini akija aliekuzidi hela UNAACHWA!

Infact wanawake zetu hawa wengi hua wanaliwa sana na watu wenye hela, we sema kinachotusaidia ni kwamba wanaume wengi wenye hela hua sio wa kuchukua jumla, wao humega na kusepa! Hicho ndio kinachofanya huyo mwanamke bado upo nae mpaka leo.

Ila kiukweli kabisa akitokea tajiri fulani akaamua kukomaa na mkeo mwanangu unaachwa asubuhi na mapema ukiwa unajiona hivi.
 
Hii inatokana na mtu mwrnyewe anajiwekaje siyo kila mwanamke yuko hvyo ni baadhi tu ambao wako after money na kukosa uvumilivu
 
Sure, ndio maana hautakiwi kuwekeza kwenye mahusiano
 
Wanaume wote mnaishi kwa kujihami. Ukweli ni kwamba, mambo yamebadilika. Hata wanaume wenye pesa wana tembea na wanawake wenye pesa. Nyie tu labda ndio hamjawa wajanja hhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…