Mwanamke wako ana mpango mbadala

Mwanamke wako ana mpango mbadala

Inawezekana ukawa unampenda, unamuamini au una malengo nae kwaiyo ukakataa kukubaliana na ninachokisema hapa, lakini huu ni ukweli mchungu ambao kwa kuwahi au kuchelewa kuelewa lazima ukubaliane nao.

Ukweli ni kwamba uyo mwanamke ulienae ana list ya replacements wako. Wanaume hawa kawaweka kwenye friendzone na itakapotokea selfish demands zake kutoka kwako hazijatimia basi anaswitch upande mwingine.

Kuna jamaa anasubiri uachwe ili yeye achukue nafasi, kuna jamaa wapo uko dm zake kwenye mitandao ya kijamii, kuna jamaa uko ofisini, chuoni, mtaani kwake n.k wanampigia timing.

Utakua mjinga ukifikiri uyo mwanamke wako hawazingatii hawa wanaomtongoza, utakua mjinga zaidi ukimuamini kwa sababu anakuletea kesi za hawa wanaomtongoza. Ukweli ni kwamba atakuambia kuhusu ambao hana interest nao kabisa lakini wale ambao ana interest nao hatokuambia, utakuja kugundua tu tayari ushakua replaced.

Uwezekano wa kukuacha kwa ajiri ya mwanaume mwingine mwenye mafanikio zaidi yako ni mkubwa sana. Uwezekano wa mwanamke kuwa na mafanikio kukuzidi wewe ni mkubwa zaidi. Kumbuka yeye ana thamani ambayo ni mwili wake ni suala la kukutana na mwekezaji kwenye iyo thamani yake lakini wewe hauna thamani unatakiwa kuitengeneza thamani yako.

She may dating you while you are not stable financially but you will be a fool to think she is doing you a favor. The truth is, at that point you are her better option, when the best option show up along the way she will dump you for him without considering your sacrifices.

With women nothing is certain, anything can happen at any time.

Kwanini nakuambia haya?

Sikuambii ili uachane na mwanamke wako, ili umtreat vibaya au umuogope. Nakuambia haya ili na wewe pia uwe na mpango mbadala.

Sasa nisome kwa makini. Ninaposema uwe na mpango mbadala simaanishi kwamba na wewe uwe na circle ya wanawake. Infact iyo itakurudisha nyuma kimaendeleo kwa sababu uhusiano wowote na mwanamke ni liability, kwa maana iyo ukitengeneza circle na wanawake maana yake itakugharimu muda, umakini na rasilimali/hela.

Mpango mbadala ninaoumaanisha ni mafanikio yako. Work hard to be the best version of yourself, be financially stable and build your value. That's is a man's ultimate plan.

Unatakiwa kujua, mwanamke tayari anayo thamani kwenye mwili wake ya kumpa mpango mbadala, lakini mwanaume thamani iyo unatakiwa kuitengeneza kwenye akaunti yako ya benki.

Na hii ndio sababu wewe kama kijana unatakiwa kuacha mara moja kuwekeza kwa mwanamke ili upate sifa za kijinga. Your focus should be investing in yourself, your mind and your financial life. Build yourself and not a woman or relationship.

Don't put yourself under pressure to impress a woman. Women are cheap, are everywhere and almost all of them have just one same thing to offer(their private part). It just a matter of your value, build your value and see how women are senseless with their delusional entitlement.

Ukifeli kimaisha utampoteza uyo mwanamke, utapoteza furaha, amani, uhuru na hautakua na mpango mbadala.
Umewaza kisomi sana bro.
Mwenye kufuata ushauri wako, atajipandisha thamani na heshima yake.
 
I was all intrigued and enjoying the content until u started using kiswahili...it debases ur valid and intelligent arguments. Please kindly rewrite in english so that i can fully assimilate wat u r saying
We choko mbona kiingereza chako chenyewe ni cha kiswahili kabisa hikii
 
Na backbenchers ndio wanaong'oa watoto wakali mbeleni 🤣🤣🤣
JoniKisomo na domozege wengi huwa dawati mbele 😂😂😂😂
Ah mie nilikuwa bacbencher na domo zege. Umenikumbusha nilikuwa nampenda dada mmoja anaitwa sophia....form 2 hiyo mzeya kila nikitaka kumtongoza naishia kwenye mambo mrembo🤣🤣🤣🤣
 
Sasa wee mbususu imekushinda utaweza kweli kisoda cha mzabzab 🤣🤣🤣🤣
Jamaa bwana ebu kuwa seeious nawe. Kwani kutokujua kutomber nacho ni kitu cha aibu mzeya? Sii ni sawa tuu na kutokujua kupiga boli ka aziz ki...sio kila mtu duniani atakuwa mtombajiiii mzuri the sonner u make peace with that the better u will enjoy life.

Mie mwenyewe hapa najijua na hiki kibamia changu sijui kutomber...wanawachafua tuh wanawake sema ndio hivyo wanaoenda pesa zangu🤣🤣🤣🤣
Mzabzab wewe kuna fyuzi imekata kichwani ujue 😹😹😹

Mtu km ana hasira anaweza kukupiga, ulinichekesha kuna uzi mmoja ulisema uliwahi kuliwa tigo 🤣🤣🤣😹😹
Tena unamuita umpe khaaaa.!!
 
Mwanamke anajua who is next kabla hamjaachana, ataanza mdogo mdogo dharau, kukunyima mbususu mwisho wa siku anakuacha mazima

Mwanamke anaanza kukuacha akilini kabla ya kukuacha physically. Kidume kaa kitaalamu ukianza kuona red flags ujue anachezea dushe la jamaa mwingine piga chini malaya huyo ASAP

La muhimu zaidi yote usimpe kipaumbele mwanamke. Ni ufara sana kumpa moyo wako mwanamke.

Ndio maana wengi hujiuliza kwa nini wanawake huwa wana-move on haraka baada ya break up

Jibu ni women know who's next in line after a breakup

Learn or Perish

 
Mzabzab wewe kuna fyuzi imekata kichwani ujue 😹😹😹

Mtu km ana hasira anaweza kukupiga, ulinichekesha kuna uzi mmoja ulisema uliwahi kuliwa tigo 🤣🤣🤣😹😹
Tena unamuita umpe khaaaa.!!
Wapi hapo nilisema niliwahi kuliwa tigo??!!! Alooo mbona wee wanisingizia
 
Wapi hapo nilisema niliwahi kuliwa tigo??!!! Alooo mbona wee wanisingizia
Subiri kuna siku nitakutag ila najua haukuwa serious ulikuwa unatania.!

Ulikuwa unajibu uchale chale km ulivyomjibu huyo member huko juu.
 
Subiri kuna siku nitakutag ila najua haukuwa serious ulikuwa unatania.!

Ulikuwa unajibu uchale chale km ulivyomjibu huyo member huko juu.
Eeh sass ssi unaona mtu analeta ujuaji basi unamjibu vile anataka maama mie hapa jf ndio sehemu yangu yakutoa stress.

Oya vipi lakini ulishaongea na shangazi Joannah kuhusu kunikubalia ombi langu
 
Eeh sass ssi unaona mtu analeta ujuaji basi unamjibu vile anataka maama mie hapa jf ndio sehemu yangu yakutoa stress.

Oya vipi lakini ulishaongea na shangazi Joannah kuhusu kunikubalia ombi langu
Ndo nafatilia kiongozi soon jibu utapata 😹
 
Back
Top Bottom