Mwanamke wako ana mpango mbadala

Mwanamke wako ana mpango mbadala

Yani mwanamke akipata nafas ya kumtesa mtu Huwa haangalii upande mwingine ni kipigo kitakatifu 😀😀😀
Aaah wanawake sio wa kispot spot usione wanaume wanahasira kali mtaani au kazini kashavurugwa home na kwa mcheps pia kavurugwa...hhahha
 
😀😀Kwakweli wewe huoni had wanachama chao sahiz Cha kuwatetea wanawake ni habari nyingine wakikuamulia
 
By the way miss u...vipi kule jukwaani mnaendeleaje...
 
Umepigwa na kitu moya nzito sana..
Achaneni na hii kasumba ya kufikiri kila mwanaume ambae yupo ruthless kwenye kuwajudge na reckless life yenu ni ishara kwamba ameumizwa. Mbona maisha mnayoishi wanawake wa kisasa tunayaona.

Jitahidini kutengeneza hoja kinzani, mimi napenda sana challenge kwa sababu ndipo ninapojua wapi nimekosea. Nimeandika kitu ambacho unaona sio sahihi kuwa huru kunipinga kwa hoja.
 
Sauwaaa...
 
Kilichobaki ni kumsanua mapema mtoto wa kiume.
Mbaya zaidi ambayo sitaki ni baby wangu achepuke kisa katengewa kibunda halafu tena aendelee kunililia nimpe msamaha yaani eti anataka aendelee kunitumia kingono yaani hapo ndio nachukia zaidi ni bora aende jumla nijue kuwa walimnunua kuliko alazimishe kubaki kwangu .. kisa aendelee kupata show yangu kali na pesa kwa watu wa nje hicho sitaki kabisa ni bora hiyo show mlima akaipate kwa mwingine huko nje sio mimi..
Yaani navyojikunja hivi huwa nawaza tu kuwa enjoy while it last siku tukiachana hakikisha unaangukia kwa babiloni mwingine kama mimi..
 
Ukweli mchungu
Bro kuna demu nimemtoa bikra Mimi Ila tangu tuachane hajawai kanitafuta Hata Kwa Bahati mbaya najiuliza ni kubuli cha namna Gani anacho yule mwanamke..
Ha ha ha ha ha

Demu wa wapi huyo mkuu?
 
Mbaya zaidi ambayo sitaki ni baby wangu achepuke kisa katengewa kibunda halafu tena aendelee kunililia nimpe msamaha yaani eti anataka aendelee kunitumia kingono yaani hapo ndio nachukia zaidi ni bora aende jumla nijue kuwa walimnunua kuliko alazimishe kubaki kwangu .. kisa aendelee kupata show yangu kali na pesa kwa watu wa nje hicho sitaki kabisa ni bora hiyo show mlima akaipate kwa mwingine huko nje sio mimi..
Yaani navyojikunja hivi huwa nawaza tu kuwa enjoy while it last siku tukiachana hakikisha unaangukia kwa babiloni mwingine kama mimi..
Ni kweli mkuu. Kosa la kucheat halisameheki. Mimi binafsi nishamwambia wife siku nitakayogundua ananocheat tunaachana hapo hapo, haijalishi tumefunga ndoa au tumezaa watoto, hata wazee na wazazi wanikalishe chini nibadilishe maamuzi sitasikiliza ushauri wa mtu yoyote. Kwaiyo akiamua kukitombesha uko nje sawa ni mwili wake lakini consequences anazijua
 
Mimi nilijua wew hujaoa kumbe unalala pazuri wenzio aah 😀😀😀
 
Back
Top Bottom