Mwanamke wako anavumiliwa na kusamehewa kwa haya...

Thabit Madai

Member
Joined
Oct 8, 2024
Posts
54
Reaction score
140
Mdau wa JamiiForums wacha nikusogezee makosa ambayo Mwanamke wako anavumiliwa na Makosa ya kusamehewa

1. Kupika vibaya
2. Kuzidisha chumvi.
3. Kulimbikiza uchafu.

Lakini sio.

1. Ku cheat na
2. Kukudharau.

Kusamehe makosa mawili ya mwisho ni upumbavu.
1. Ku cheat na
2. Kukudharau.
 
Kama huna pesa utagongewa tuu, na ukimuacha atagongwa vilevile
 
Mdau wa JamiiForums wacha nikusogezee makosa ambayo Mwanamke wako anavumiliwa na Makosa ya kusamehewa

1. Kupika vibaya
2. Kuzidisha chumvi.
3. Kulimbikiza uchafu.

Lakini sio.
1. Ku cheat na
2. Kukudharau.

Kusamehe makosa mawili ya mwisho ni upumbavu.
1. Ku cheat na
2. Kukudharau.
Ukweli mtupu.
 
siyo lazima wote tuwe na wanawake, wengine mkiwa towashi kama mtume Paulo inatosha tu. mwanamke kukudharau/kukusaliti ni kutaka wewe mwenyewe, tena haswa ukiwa hautimizi majukumu/wajibu wako kwa familia yako kama MWANAUME.
 
Kwahiyo mkuu ukipitiwa na kipindi kigumu cha pesa so demu akucheat ni sawa kwako
 
Back
Top Bottom