Thabit Madai
Member
- Oct 8, 2024
- 54
- 140
----Lakini sio.
1. Ku cheat na
2. Kukudharau.
Unaitwa ubatizo wa moto 🔥Wakishakula demu wako, unageuka motivational speaker.
Ukweli mtupu.Mdau wa JamiiForums wacha nikusogezee makosa ambayo Mwanamke wako anavumiliwa na Makosa ya kusamehewa
1. Kupika vibaya
2. Kuzidisha chumvi.
3. Kulimbikiza uchafu.
Lakini sio.
1. Ku cheat na
2. Kukudharau.
Kusamehe makosa mawili ya mwisho ni upumbavu.
1. Ku cheat na
2. Kukudharau.
😃😃😃Halloo ...Wakishakula demu wako, unageuka motivational speaker.
Kwahiyo mkuu ukipitiwa na kipindi kigumu cha pesa so demu akucheat ni sawa kwakosiyo lazima wote tuwe na wanawake, wengine mkiwa towashi kama mtume Paulo inatosha tu. mwanamke kukudharau/kukusaliti ni kutaka wewe mwenyewe, tena haswa ukiwa hautimizi majukumu/wajibu wako kwa familia yako kama MWANAUME.
😂 ndio uhalisiaWakishakula demu wako, unageuka motivational speaker.