PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
HahahaLawama zote ziwaendee usAID kwa chanjo . Wanaume tumebaki wa kuhesabu sana. Mimi na jamaa hawa......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaLawama zote ziwaendee usAID kwa chanjo . Wanaume tumebaki wa kuhesabu sana. Mimi na jamaa hawa......
Usifanye hasira kwanza nenda kaone mwenyewe inawezekana kaumwa na mmbu, si unajuwa masika haya.
Daah umenikumbusha mbali kidogo kaka piga na kwao aende huo ujinga na dharau
WashaachanaLete mrejesho ulimkutaje?.
Muda mwingine jipe muda wa kutafakari. Mapenzi yasichukue sehemu kubwa ya maisha yako. Ndio hapo vijana wanajitoa uhai au kutoa uhai wa mwingine ksbb ya mapenzi. Wengi wameharibu future zao sababu ya mapenzi.
Vijana jifunzeni kuhusiana na hili swala la mapenzi. Kwa nini usijifikirie wewe na maisha yako yote badala yake uteseke na mtu ambaye hujazaliwa nae?.
Bahati mbaya kupiga sio suruhisho,zaidi itakuongezea matatizo. Hakuna kitu kizuri kama kumuacha tu aende kwa amani. Sitisha mahusiano tu kwa amani,hata iwe umeumizwa wewe,usilipize. Ksbb kulipiza kisasi ndio mara nyingi inatokea inapitiliza inazaa mauaji ksbb ya hasira.
Dhibiti hasira,huyo mwenzi wako mwili ni wake. Cha muhimu ukikutana na hali tofauti achana nae tu kwa amani ili kujiweka salama wewe. Na kawaida ukimuacha kwa amani,na ukamsahau kabisa atapitia maumivu tu. MUNGU anajibu hapa hapa duniani.
Duh! Mzee, si ungeongea taratibu tu? Haraka za nini? Tueleze kwa kituo nasi tujuwe yaliyokusibu.
Chanzo chako cha umbeya kina chuki na uhusiano wenu na kinataka kuchukua nafasi.
Fanya uchunguzi na kujiridhisha kabla ya Kuchukuwa sheria mkononi.
Mwombe MOLA wako akuongoze daima maishani.
REACTION haiwezi kuleta suluhu kabisa.
Ukome kabisa mwanamke anapigwa n upande wa kanga, alaf kama katembelewa na mdudu? Love bite kwanza nikuumizana mm sitaki hata kusikia kwa kweli, niling'atwa mm Dodoma na yule Baba sitakuja kusaahau hata sijasikia utamu wowote zaidi ya maumivu tuuJana jioni nilipigiwa simu na dada mmoja ambae anafanya kazi ofisi moja na huyo mchumba wangu. Bila kupepesa macho alinambia kwa nini umemfanyia hivo mwenzio?
Nikamuuliza mbona sijafanya kitu? Akanambia kwanini umng'ate mwenzio shingoni (Love bite) una mchoresha. Nilistuka lakini sikuonesha sana mshangao ikabid nizuge tu kwa kumwambia tulijisahau.
Basi tukaendelea na maongezi mengine. Huyu dada anaefanya kazi na mchumba wangu huwa anafahamu kua kila weekend lazima niwe dar na bibie. Ila ukweli weekend hii sikua Da. Kwa asilimia 100 mchumba wangu amenisaliti.
Na mimi sijamueleza kitu ila kwa kweli nimeshafanya maamuzi siwezi tena kua na mwanamke msaliti. Na nimeumia sana na kwa hili lazima alipe siwezi kuumia peke yangu.
Nna mawazo sana na itabidi nipande basi maana naona niki drive hata Kutokea Dodoma hata Kibaigwa sitatoboa kwa huu msongo ntajikuta nimeingia porini na kufia huko.
Ni bora nipande basi nifike salama. Kwa kweli lazima ale kipigo kikali sanaa na kitakatifu. Sijawahi shika simu yake ila ntampiga mpaka ataifungua najua ntakutana na madudu mengi yatakayo nipa hasira ili nimpige vizuri.
Kama ni usaliti si angefanya tuu kimya kimya yaani mpaka love bite anaenda nayo ofisini na heshima yangu niliyo nayo pale ofisini kwao maana staff wenzake wengi tunafahamiana si wataniona mshamba?
Kiukweli nna hasira kali sanaa. Na kila nilicho mpa ntachoma moto na niliko mpangia naenda kuweka komeo maana mimi ndo nasomeka kwenye mkataba wa upangaji..
Hii dhahiri shairi nimepigiwa. Mwanamke nilimpa kila kitu ila ndo hivo.
Na uchumba umekufa rasmi.
Mkuu haina haja ya uchunguzi. Kwa maumivu niliyo nayo lazima nimuumize zaid yangu ili iwe fundisho kwake asiende kufanyia watu wengine..siwezi kuumia peke yangu namna hii ..
Maumivu aliyo nisababishia lazima atayalipi