Mwanamke wangu ameenda ofisini kwao na love bite shingoni. Nipo Dodoma kikazi, ijumaa narudi Dar kuonana naye

Washaachana
 
 
Ukome kabisa mwanamke anapigwa n upande wa kanga, alaf kama katembelewa na mdudu? Love bite kwanza nikuumizana mm sitaki hata kusikia kwa kweli, niling'atwa mm Dodoma na yule Baba sitakuja kusaahau hata sijasikia utamu wowote zaidi ya maumivu tuu
 
Mpigie video call kabla haijapotea. Utaiona tu.
Mkuu haina haja ya uchunguzi. Kwa maumivu niliyo nayo lazima nimuumize zaid yangu ili iwe fundisho kwake asiende kufanyia watu wengine..siwezi kuumia peke yangu namna hii ..
Maumivu aliyo nisababishia lazima atayalipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…