Mwanamke wangu ameenda ofisini kwao na love bite shingoni. Nipo Dodoma kikazi, ijumaa narudi Dar kuonana naye

Unajuaje kama huyo dada anawaonea wivu tu na hamna ukweli wowote? Wanawake huwa ni kawaida kuwekeana mtimanyongo.
 
Mkuu huyo mdada kama kweli mnaheshimiana sana alipataje ujasiri wakukupigia simu na kukwambia issue ya love bite? Hiyo ni issue private,

Kwanini asimwambie huyo Mwanamke mwenyewe hapo hapo ofisini badala ya kukupigia simu wewe?

Kua makini kuna game unachezewa na wewe umeshaingia kichwa kichwa tayari.
 
Kuachana nae ni adhabu tosha, huna haja sioni haja ya kumpiga. Lolote linaweza kutokea kwa kumpiga kama kusababisha ulemavu ama kifo.

Na matokeo ya hayo ni kifungo jera au kupoteza muda mahakamani. Jambo la msingi ni wewe kupita kushoto na uendelee na maisha yako.

Muda bado upon wa kutosha papuchi Kila siku zinazaliwa mpya hivyo zipo za kutosha. Fikiria mara mbili jamaa
 
Mkuu haina haja ya uchunguzi. Kwa maumivu niliyo nayo lazima nimuumize zaid yangu ili iwe fundisho kwake asiende kufanyia watu wengine..siwezi kuumia peke yangu namna hii ..
Maumivu aliyo nisababishia lazima atayalipia..
Usimpige au usimdhuru kama umempangia na ana Kila kitu humo nenda kamfukuze ulipo mpangia chukua vitu vyako achana naye basi kuliko kumpiga aisee .. hiyo n mbaya
 
Mimi ningekuwa huyo mwanamke ningewageuzia kibao yeye na informer wake wanakulana, akinipiga hata kibao nalaza polisi wote🤣🤣🤣
 
We nawe! Unashangaa kuchapiwa tena kwenye long-distance relationship!?😳

Huyo binti hata kama utakwenda kumpiga utamuonea tu. Na haitasaidia cho chote. Ukute ushikwe na mihasira uzidishe kipigo ujikute unaua halafu unakwenda kufia jela. For what? Mbususu?


Na #UkichapiwaKausha 📌📌📌📌
 
Hawaheshimiani na hiyo swala 5 ni zuga tu kama baibui za Kariakoo
 
Kaoe dada yako,ila kama ndo hawa dada zetu utazeeka bila kuoa,kikubwa usione ayafanyayo
Kwa hiyo mm ndo nivumilie mwanamke wangu apigwe love bite nipotezee?
Kama aliamua kusaliti si angesaliti yaani ndo mpaka ang'atwe shingoni?
Huku ni kunikosea heshima na adabu na huu ni utovu mkubwa wa nidhamu ..
Aisee lazima apate alichostahili kupatiwa ..
Hadi hapa kashavuruga Ratiba yangu ya kwenda Machame December mana ndo nilikua naenda kumtambulisha.
 

Manzi ako atakavokuwa anakusemea polisi baada ya kumkanda.


Anyway, on a serious note, nipe mimi huo mchongo wa kukuendesha kwenda dar.
Ya nini upande basi alaf ukose mtu wa kuku hype? Tukienda wote mimi kazi yangu ni kuendesha na kukoleza moto. Tukifika dar unaanza kupiga kuanzia mlandizi mpka kwa dem wako, kama muvi ya kichina. Ni kichapo kwenda mbele
 
Pole mkuu sikujua kama ulimposa huyu demu. Sitang'ata tena [emoji28]
 
Pole sana mkuu……jamani mnifundishe na mm kupiga love bite
 

Mkuu huwajui watu vizuri wewe…mtu mzima swala 5 ndo hawezi sema uongo? Hapati wivu?
Wewe apo ungemwambia tu natamani nawewe nikuekee love bite Afu uone reaction [emoji1787] ngoja umpige bidada wa watu afu ukute kweli hakupendi kiivo atakupeleka jela afu aendelee na mchizi Mr. love bite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…