Mwanamke wangu ameenda ofisini kwao na love bite shingoni. Nipo Dodoma kikazi, ijumaa narudi Dar kuonana naye

Tuliza temper fanya maamuzi sahihi kumpiga sizani kama ni swala zuri unaweza zarisha mambo makubwa
 
Afu mi nimejifunza wanawake ukitaka akupende usimchukulie serious sana, nenda naye kimashara tu
Ukweli mm si mtu wa kumfatilia mwanamke wala kumbana .Na wala sitakagi kujipa mawazo ya kijinga sabab si leo nimeanza nae mahusiano ya Long distance nimekaa Finland kuanzia 2019 hadi niliporudi mwaka huu 2023 January nikakuta tumehamishiwa dodoma ..Mimi ni mtu mzima siwezi kumfatilia mtu mzima mwenzangu.. Kumbe uhuru niliompa malipo si hayA .. kwani nyie wanawake mnatakaga nn?
Unavomsaliti mchumba wako unakua unawaza nn ?
Tukiua tunaonekana sisi ndo wakorofi ila wanawake wanatakiwa waingizwe kwenye listi ya vitu vinavoleta majanga duniani..
Ukiacahana na ukame, mafuriko,tsunami,vita mate matetemeko hivyo ndo vitu vinaleta majanga makubwa duniani inabdi wanawake nao watangazwe ni chanzo kingine cha majanga...
 
Huu ushaur ungekuwa Dose ninge mshaur mwenye uzi aunywe mara tatu mpka hapo atakapo jiona amepta nafuu juu ya tatzo alilo nalo.
 
Tusubirie Baba Mwenyenyumba mwingine kutoa ushuhuda wa wapenzi kuuana.
Hivi Karibuni...
Siendi kwake namleta kwangu ..nyumba yangu wanakaa wadogo zangu 2 .. Nishawapa kazi ya kunifanyia huko Arusha ila agenda iliyopo ni mm nibak na huyo mwanamke ili asiwepo wa kutuamulia..
 
Na huyu aliekueleza love bite inawezeka anamjua mwenye love. Achana naye au Vumilia. Kwani na WEWE huna girlfriend
 
Umempigia video call kuizoom hiyo love bite? Ama unasikiliza mashost wanaokumendea??
 
Mkuu usikubali yaani hakikisha unatokea kwenye magazeti na vyombo vingine vya habari
 
The best thing to do is let her go.

Usimrudishe. Achana naye .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…