Mwanamke wangu ameenda ofisini kwao na love bite shingoni. Nipo Dodoma kikazi, ijumaa narudi Dar kuonana naye

Jela sio kuzuri mzee wangu sie tuliopita hats mbu tu tunaogopa kumuua
 
Usisaau mrejesho mkuu.
Baada ya kufika dar
 
Aisee
 
Da jamaa umeongea kwa uchungu mkali sana.
 
Acha ujinga bro! Unasalitiwa na mchumba, unakosa Amani, sie tumesalitiwa na, wake wa, ndoa,na, bado walaaa, ndio kwanza, tunakula bia na, kitimoto!
Sasa, mtu "akiingia" Sehemu yako, na wewe ukaja ukaingia, tofauti IPO wapi? Nyama, ni ileile,
 
Swala tano halafu anajua love bite safi sana.
Kabla hujafanya chochote,unaweza ku-confirm kwanza kuwa mwenzi wako amekuchit?
Kama ndio hakikisha kwanza kama bado unampenda.Kama huwezi kuhakikisha nenda na moja kichwani kwa tahadhari.Mara zote hasira ya mwanadamu haifanyi mapenzi ya Mungu,regulate hasira yako ili usifanye kitu cha kuharibu destiny yako kwa sababu ya mtu mwingine na vitu.Be a man brother act wisely kuepuka madhara makubwa upande wako na mwenyezi Mungu atakusimamia utakuwa sawa na maisha yataendelea.
 
Bila picha mkuu?
 
Huyo mwingine si amempa tu ila kukupenda anakupenda wewe? Sasa hapo kuna noma gani?😃
 
Mimi niliachana na mchumba sababu alikuja na nguo zao zile zenye vifungo mgongoni namuuliza nani kamfunga hasemi
NIKAMUACHA
 
Una uhakika kuwa hawajui kuwa haujarudi? Watu wanakusanya taarifa zako halafu wanakutekenya unapotekenyeka na kukupiga panapouma.
Be Careful, fanya uchunguzi wako usijione mjanja ku build case kwa kutumia taarifa za watu wengine.
 
Umemuoa ..? Unagharamikia demu ambae hujaweka ndani..? Acha uzwazwa jikatae chukua kilocho chako kama huja muoa ni chombo ya wana tu
 
Kabla hujachukua maamuzi yoyote fanya uchunguzi ujilizishe...usiamin maneno ya kuambiwa moja kwa moja utakuja jilaumu baadae,...safiri kimya kimya bila kumpa taarifa mchumba wako,fika usiku nyumbani hata ikiwezekana saa 5 usiku,chukua simu yake chunguza mawasiliano yake kama anacheat utagundua tu,mwanamke anayechepuka ni rahisi sana kumkamata kuliko sisi wanaume,...ombi langu.
1.Kua mvumilivu hata kama utakuta ana mtu mwingine,kwa sababu unaweza fanya kumzuru huyo dada,ukajuta baadae.
2.Kama una muacha,achana nae kwa amani,..itakufanya uwe salama.
3.Bado unanafasi ya kupata mwanamke bora kama ikitokea huyo kakucheat..wanawake waaminifu wapo wengi tu.
 
Sikia tu kitu mapenzi [emoji18] [emoji17].penda kwa kiwango cha wastani usijitoe ufahamu...we nenda kamdunde na makovu aende nayo kazini...ningeshauri hata usimpige kaa kando
 
Kwanini na wewe usitafute wakumpa hiyo love bite?.
 
Yawezekana huyo dada aliyekuambia anataka ampindue mwenzie ,mbona technology imekua sana zama kuna video calls ungenotice kwa uhakika zaidi bila kumwambia umempigia kwa lengo gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…